Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili...
Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na kimaadili...Ila akifika shuleni miaka kadhaa tu...Kiburi...Uhuni...Matusi...Ukosefu wa adabu wa watu wakubwa...Na mengi ya uchafuzi wa maadili yanaanza...Nimefanya research...
Nimegundua walimu wa sasa waliopo mashuleni...Suala la malezi ya mtoto kimaadili kwao sio kipaumbele...Wao wanafundisha inglishi tu...Hisabati tu...Sayansi ya kuchora panzi...Na namna ya kubana chuchu na kuvisha condom...
Suala ya tabia na maadili ya mtoto haliwahusu...Hii ndio madhara ya ukosefu wa wito...Mtu aenda kufundisha kwa kujihakikishia ana ajira na pesa inaingia kila mwisho wa mwezi...Hebu tazama haya...
Pili...
Mfumo wetu wa elimu ..Ndio chanzo cha umaskini kwa kizazi cha leo na cha kesho..
Kwa sababu hakuna cha maana kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi utajifunza shuleni...Ukatumia nje ya shule...Ukayamudu maisha bila kuajiriwa...
Hata kile unachojifunza ili ukaajiriwe...Sio kile unachoenda kukikuta mahala pa kazi...Ulichopatia cheti kingine...Unachofanyia kazi kingine...
Si bura ungeenda moja kwa moja mahala pa kazi ukajifunze hiyo kazi...Na ufanye kuliko kupoteza muda miaka takriban ishirini(20) kusoma upuuzi...
Mbaya zaidi serikali inapinga mabint waliobaleghe wasiolewe...Ila wao ndio wanaowapelekea kondom mashuleni na kuwafundisha namna ya kufanya ngono salama...Serikali inashiriki katika uharibifu wa jamii yake yenyewe...Alafu baadae serikali inarudi kwa viongozi wa dini...Eti watengenezeni waumini wenu...Eti tusaidieni viongozi wa dini kuitengeneza jamii...Eti matukio ya ukatili na unyanyasaji yamekithiri...
Yaani serikali ilikaa na mtu toka utotoni wakamharibu muda wote huo...Hamkumpa hata muda kiongozi wa dini amtengeneze kuanzia chini...Alafu ukubwani ndio aje kurekebisha pale mlipoharibu nyie...
Serikali...Acheni kujitia uziwi...Mnatuharibia kizazi...Bora mtuache tuishi kama wamasai...Tuwafundishe watoto wetu yale tunayoishi nayo...Yenu ni machafu...Nimechoka...
Ref: panya road ni vitoto vilivyo hitimu darasa la saba.
Unatumia milioni 40 kumsomesha mtoto KISHA anarudi nyumbani kusubiria kuokota kazi. Ipo haja ya kubadili mtazamo.
Mpeleke mtoto shule Ili kuondoa kelele nyumbani, akimaliza form mpeleke moja KWA moja kwenye ujuzi akimaliza akiiva mfungulie ofisi mpe mtaji wa vifaa apambane mwenyewe.
Maisha sio vyeti bali wewe unaujuzi gani wa kuchukua pesa toka kwa watu. Watu wanazo pesa unazichukua vipi uwe tajiri unazichukua kwa kuwapa wanachokihitaji mfano huduma au bidhaa.
Mimi nawaza hizo clip Tu,watoto wa kibongo wanaimba upuuzi mtupu,lkn cheki wachina na wazungu wakiwa wadogo wanatayarishwa kuja kuyamasta mazingira mapema sana
Mtoto anaemaliza form 4.Kisha akatupwa gerezani kariakoo au tabata dampo, au temeke akacheza na vyuma miaka 3 akapata menta ( life coach) mzuri then ukamfungulia ofisi yake ukampa vifaa vya kisasa kama mzazi utakuwa umetua deni kubwa Sana maishani kuliko kutupa pesa kumpeleka Chuo akaishie kumiliki smart phone arudi mtaani kutembeza bahasha.
Hawasikii wala hawaelewi wale. Mpaka mawe yanapiga kelele hawashituki. Huu mfumo umelalamikiwa sana lakini, ni mfumo unaorutubisha na kusitawisha umasikini. Hakuna haja ya kumpotezea mtoto muda mrefu kujifunza vitu ambavyo hatavifanya wala kujiajiri. Eti mwanafunzi anaenda shuleni kufeli! Wakifeli kwa mujibu wa matokeo yao wanaachwa wapotelee kusikojulikana,
MAJUKUMU YANAENDA DIRECTLY PROPORTIONAL TO TIME...Haiwezekani jukumu la malezi liwe la mzazi tu...ambaye majukumu yake ayatekeleza mtoto anaporudi nyumbani kulala...vipi NDOTONI AU?
Mimi nawaza hizo clip Tu,watoto wa kibongo wanaimba upuuzi mtupu,lkn cheki wachina na wazungu wakiwa wadogo wanatayarishwa kuja kuyamasta mazingira mapema sana
Hawasikii wala hawaelewi wale. Mpaka mawe yanapiga kelele hawashituki. Huu mfumo umelalamikiwa sana lakini, ni mfumo unaorutubisha na kusitawisha umasikini. Hakuna haja ya kumpotezea mtoto muda mrefu kujifunza vitu ambavyo hatavifanya wala kujiajiri. Eti mwanafunzi anaenda shuleni kufeli! Wakifeli kwa mujibu wa matokeo yao wanaachwa wapotelee kusikojulikana,
Suala la Malezi ni lako mzazi. Kama unategemea mtoto wako apatie malezi shuleni basi umefeli kama mzazi. Kabla ya kuzaa jua kuna jukumu la kulea ambalo ni lako kwa 100%. Tatizo unakuta jitu linapeleka mtoto wa miaka mitatu shule eti baby class.. SHENZI TYPE
MAJUKUMU YANAENDA DIRECTLY PROPORTIONAL TO TIME...Haiwezekani jukumu la malezi liwe la mzazi tu...ambaye majukumu yake ayatekeleza mtoto anaporudi nyumbani kulala...vipi NDOTONI AU?
Suala la Malezi ni lako mzazi. Kama unategemea mtoto wako apatie malezi shuleni basi umefeli kama mzazi. Kabla ya kuzaa jua kuna jukumu la kulea ambalo ni lako kwa 100%. Tatizo unakuta jitu linapeleka mtoto wa miaka mitatu shule eti baby class.. SHENZI TYPE
KAMPENI ZINASEMAJE SASA HIVI ZA SERIKALI...? ZINAHITAJI WATOTO WAANZE SHULE WAKI NA MIAKA MINNE...
PILI NIMESEMA HAPO JUU...MZAZI UTAJITAHIDI MLEE MWANAO VEMA...AKIFIKA SHULE ANAVURUGWA...NA AKISHAFIKA SHULE...SIO WAKO TENA...KWA SABABU HUKO SHULENI SIKU HIZI WANASHINDA NAO KUTWA NZIMA...ANARUDI KWAKO KULALA TU...HAYO MALEZI UNAMLEA MUDA GANI?