Mtoto anaemaliza form 4.Kisha akatupwa gerezani kariakoo au tabata dampo, au temeke akacheza na vyuma miaka 3 akapata menta ( life coach) mzuri then ukamfungulia ofisi yake ukampa vifaa vya kisasa kama mzazi utakuwa umetua deni kubwa Sana maishani kuliko kutupa pesa kumpeleka Chuo akaishie kumiliki smart phone arudi mtaani kutembeza bahasha.