Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

Mfumo wa email air Tanzania haufanyi kazi

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki.


Air Tanzania ebu jaribuni kuliangalia hili, hamtaweza kusurvive kwenye soko la usbindani kwa namna hii.
 
E-mail kutokufika ni kwa sababu ya Air Tanzania au sababu ya Gmail wenyewe?

Na inahusikaje na ku reset password?
 
Email ya kwako haifunguki au ya Air Tanzania ndio haifunguki? 😲
 
Back
Top Bottom