Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Napata ujumbe huu
"error initializing transfer request "

Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini bado naambiwa👉👉 error initializing transfer request


Natokaje hapa? Msaada
 
Futa ombi la kwanza then uanzishe lingine.
 
Hao watu hawana dawati la huduma kwa wateja / msaada? Basi serikali haiko serious na mambo yake.
 
Toka lini Serikali ya Bongolala ikawa serious na mambo yake?
Huwa wanakuwa serious na majungu na umbea. Hapo haraka sana utasikia hatua za kinidhamu zitachukuliwa.

Hawa wakubwa wetu hii mifumo huwa wananunua. Wakishachukua chao tu limfumo hutelekezwa. Labda watachungulia kukiwa na kesi.
 
Huu mfumo siyo rafiki hata kidogo kwa waomba uhamisho. Kwa sababu wengi wao hawana utaalamu wowote ule wa namna ya kuutumia.
 
Back
Top Bottom