Dar As Salaam
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 293
- 528
Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja.
Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde wafungwe kisha final wacheze giants.
Kama kuna level mbili, basi kila level inatoa timu nne kwa ajili ya robo fainali (4+4 = 8)
Kwanini unaichukua Simba au Yanga unaenda kuwachezesha na timu Daraja la 3?? Unategemea nini kama sio fainali siku zote itakuwa ni ya timu za ligi kuu pekee.
Yaaani Mayweather ukampiganishe na Bondia wa Manzese kweli?? Seriously??