Dar As Salaam
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 293
- 528
Uko sahihi Mkuu.Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki kimoja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja.
Kwanini unaichukua Simba au Yanga unaenda kuwachezesha na timu Daraja la 3?? Unategemea nini kama sio fainali siku zote itakuwa ni ya timu za ligi kuu pekee.
Yaaani Mayweather ukampiganishe na Bondia wa Manzese kweli?? Seriously??
Mkuu, if that's the case, at least kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde wafungwe kisha final wacheze giants.unadhani wewe ndio una akili kuliko wao?
Unataka fainali ipatikane timu dhaifu ya daraja la kwanza icheze na yanga then ipigwe saba kwa nunge ndio ufurahi?
Fainali lazima wacheze giants wenye uwezo unaofanana au unaelekeana hata mvuto wa watazamaji utakuepo sio fainali yanga na stand united ya daraja la kwanza uko
Wao pia wanaweza kujifunza kupitia mimi. Hata huu mfumo wa sasa wameiga kutoka FA ya Uingereza, lakini Je hatuwezi kuwa na mfumo wetu wa kipekee, yaani kila cha mzungu tuna adjust kidogo ili kifanane na sisi??unadhani wewe ndio una akili kuliko wao?
Kama sio fainali, basi kuwe na robo, nusu kisha fainali (8,4,2)Unachosema hapa ni kwamba FA ilazimishe timu yenye uwezo mkubwa ikutane na timu madaraja ya chini fainali.
Poa mkuuNilipoona tu Zambia is your homeland nikafuta nilichotaka kusema
Hapa unakua umeondoa tatizo unaloliona la timu kubwa kucheza na timu ndogoKama sio fainali, basi kuwe na robo, nusu kisha fainali (8,4,2)
Kama kuna level mbili, basi kila level inatoa timu nne kwa ajili ya robo fainali (4+4 = 8)Hapa unakua umeondoa tatizo unaloliona la timu kubwa kucheza na timu ndogo
Nadhani wamefanya hivi kama njia ya timu daraja la chini kupata nafasi ya kukutana na timu kubwa, pia ni njia ya kujiuza kwa wachezaji. Mbogasaba Fc ikikutana na Yanga wachezaji wanajua kabisa ni fursa.Kama kuna level mbili, basi kila level inatoa timu nne kwa ajili ya robo fainali (4+4 = 8)
Mkuu, vilabu vikubwa kama Yanga na Simba wana watu maalum kwa ajili ya kufanya scouting na kusaka vipaji. Hata hivyo kama timu itaweza kufika robo fainali ya F.A bila shaka itakuwa na wachezaji wazuri na wataweza kuonekana vema katika hatua hiyo ya quarter finals pia.Nadhani wamefanya hivi kama njia ya timu daraja la chini kupata nafasi ya kukutana na timu kubwa, pia ni njia ya kujiuza kwa wachezaji. Mbogasaba Fc ikikutana na Yanga wachezaji wanajua kabisa ni fursa.
Upo sawa ila Kuna ile push ya mchezaji mmoja mmoja mwenye malengo makubwa kuliko timu anayocheza. Anahakikisha akipata hiyo nafasi mashabiki wa Simba/Yanga wanamjadili.Mkuu, vilabu vikubwa kama Yanga na Simba wana watu maalum kwa ajili ya kufanya scouting na kusaka vipaji. Hata hivyo kama timu itaweza kutoka robo fainali ya F.A bila shaka itakuwa na wachezaji wazuri na wataweza kuonekana vema katika hatua hiyo ya quarter finals pia.
Unafir** wewe bila shakaHuo mfumo kaupeleke huko kwenu Zambia.
Usituharibie mambow hapa.
Wewe unapigwa misumari.Unafir** wewe bila shaka
....na hiyo nafasi ya yeye kuonesha uwezo wake ipo quarter finalsUpo sawa ila Kuna ile push ya mchezaji mmoja mmoja mwenye malengo makubwa kuliko timu anayocheza. Anahakikisha akipata hiyo nafasi mashabiki wa Simba/Yanga wanamjadili.
Kama ninavyompigaga baba yako.Wewe unapigwa misumari.