Mfumo wa kiulinzi wa Urusi, S-400 walipuliwa kizembe sana

Mfumo wa kiulinzi wa Urusi, S-400 walipuliwa kizembe sana

Kumbuka baada ya wao kuvamia walifukia mabomu kote, hivyo kuwasukuma hata kilomita moja huwa kazi lakini tutaendelea mpaka watoke nchi ya watu. Na wanauawa sana, yaani Putin ameamua Warusi hata wafe wa mwisho ila yeye hajali.
...na ni mengi hasa, hili limepelekea Ukraine kuanzisha somo kwa shule za Msingi la jinsi ya kutambua na kutegua mabomu.
 
Kenya mnazo hizo?

Bibi huwa unafurahisha sana, ukiamka na kuhisi minyege una-login JF kutibua wanaume.....
Kenya hatuna, hata waarabu "miungu" wako hawana....hehehe
 
Back
Top Bottom