Kumbuka baada ya wao kuvamia walifukia mabomu kote, hivyo kuwasukuma hata kilomita moja huwa kazi lakini tutaendelea mpaka watoke nchi ya watu. Na wanauawa sana, yaani Putin ameamua Warusi hata wafe wa mwisho ila yeye hajali.
Baada ya S-400 kupigwa kuna taarifa kwamba mfumo wa kurusha makombora wa Bastion ambao ulikua ukifyatua makombora kushamhulia Odessa nao umelipuliwa hapohapo Crimea.