Mfumo wa kuajiri kupitia Ajira Portal na kuita watu kwenye usaili physically mikoa ya mbali unamaliza pesa za serikali na wananchi

Kupitia hii app, kuna institution iliweza kuwafanyia usaili wa mchujo watu elfu 30 kwa wakati mmoja. Walifanya mtihani. Kupitia hii app mitihani haiwezi kuharibika. Huwezi kuangalizia inakunote yenyewe. Huwezi kupiga kelele inakudetect yenyewe. Dunia imebadilika saivi.

1. ExamClient(For computer)

Google Chrome browser is suggested for downloading with the link below, Please click and input your Passport/ID No.



2. Proctor Assistant(For Mobile phone/Tablet)

For Android mobile phone, please download the APP from the designated link:


For iPhone, please find and download Proctor Assistant from APP Store directly.

IV.Testing procedure

1.Please prepare the test environment, equipment, Internet, paper and pens as required.

2.Mute your mobile phone/tablet (while the phone should be turned on flight mode and then connect to WiFi), run the Proctor Assistant APP, check your identity and environment according to the guidance of invigilators, and place it 1 meter behind your rare side.



3.Start the computer, close the anti-virus software(or add ExamClient into Whitelist of antivirus software) and other irrelevant programs, and run the ExamClient no later than one hour before the test. After passing the device and network detection, enter your Passport/ID No. and password to enter the exam.

4.Read the test disciplines and wait for the test to begin.

5.Test begins, no submitting nor leaving is allowed before the end of the test.

6.End of testing time, please wait for invigilators confirm your submitting status.

7.Submitting status confirmed, tear up all paper.

8. Leaving by quitting the ExamClient and Proctor Assistant.
 
Kwa nini mkuu, wamekuzinguaje
Nilienda Dom kwa ajili ya post 1.

Nilienda kwa pesa ya mkopo.

Interview ni maswali ya darasani written na oral. Nimemaliza chuo miaka 6 nyuma, hii mbinu inawafavor fresh from school au recent graduates.

Niliingia kwenye interview (oral) saa tano usiku (na tulikua wasailiwa 47 tu)

Nikarudi nina deni, post nikakosa.

Ndiyo nipo hapa
 
Unaonea huruma akati ni kodi za wanachii na wanalipa wenyewe.

Mbona walipaji hawaishiwii wao kulipa??

Pili unoenea huruma akati hiyo nigharama kama nyingine hata sekta binafsi inawagharibu.

Kwa hiyo acha upashuknaa..

Naihisi hata sikuizi Jamii forum imepoteza mvuto kwa akili ndogo.
Sanaa

Wee mtu Jana Ajira, unamuita kwenda dodoma

Aje alale mwisho haumpi kazii

Litoke mtuu kama huyu asiye hata na huruma.
 
Me Naona Bora Iwe Teuzi Tu. Kama aufai ukifika kazini C Utatumbuliwa.
Kuna software kibao za kufanya mitihani online wala mtu hawezi kuangalizia wala kupiga kelele.

Watu wangesogea maeneo yenye internet karibu na maeneo wanayoishi wangefanya mitihani online. Mitihani ingesahihiswa kirahisi kabisa bila gharama na nguvu nyingi. Mshindi angepatikana na kuitwa kwenye oral kundi dogo la watu.
 
Pamoja na hivyo ila ulifika oral.

Wengine tunakomea kwenye written, Ulijitahidi.

Vipi haujawahi kupangiwa kituo cha kazi endapo ulifaulu oral na ukawekwa kwenye kanzidata?
 
Pamoja na hivyo ila ulifika oral.

Wengine tunakomea kwenye written, Ulijitahidi.

Vipi haujawahi kupangiwa kituo cha kazi endapo ulifaulu oral na ukawekwa kwenye kanzidata?
Kiukweli kama wananipangia mi sijui. Niliendelea kufuatilia placements kwa muda nikaona bado sipo nikaachana nazo
 
Nchi yangu Tanzania BADO tunahofu Sana na mfumo wa tehama wakati ungesaidia kurahisisha kazi kabisa!!

BADO mabosi wanasumbuliwa na phobia ya teknolojia tubadilike!

"Maendeleo ya mtanzania yataletwa na mtanzania na sio mgeni hata kama ni mzuri kwetu tumakinike"
 
Tufanye kazi zingine hata za kukwepa tozo
 
Hii nzuri sana kuliko kuharibu pesa
 
Ikishindikana kwa njia hii basi Interview iwe moja tu oral.
Priority za Wanaoomba ziwe ni Kwa wale waliomaliza miaka 6,5,4 kwanza. Wahitimu Wapya Wasubiri kama Wenzao walivyosubiri.
 
Upo sawa lakini hili swala nawaonea huruma wanatumia nguvu mno kutafuta watu wawili. Wakati wangefanya usaili wa kawaida tu nakumpata muhusika.
Ifike muda Wahitimu wa Chuo Kikuu wasio na Ajira wawe wanalipwa Posho kama Nchi za Scandanavia wakati Serikali inawatafutia Ajira. Mfumo huu husaidia First In na Last Subiri.
 
They're looking for the right person not the best one

Kwa hio lazima uende ukafanye interview
Naihisi hata sikuizi Jamii forum imepoteza mvuto kwa akili ndogo.
Sanaa
Ametoa wazo lake tu mkuu sio vibaya kuwashirikisha wengine fikira zako kuangazia je yaweza ikawa leo unakipiga vita lakini miaka 10 mbele kikakubarika na kikaweza kutumika km jinsi kinavyotumiwa na baadhi ya mataifa mengine

Maana technology inakua na inapanuka mkuu tuwe na kiasi tusimalize maneno

Mtoa mada kuna changamoto ameiona akajaribu kuangazia namna ya kuleta ufumbuzi wa hio changamoto iliyopo hata Ajira portal unayoiona leo ilianza na wazo na ilipigwa vita na baadhi ya watu wakaipinga km unavyopinga wewe ila baadae ikakubarika na hadi sasa inatumika na wapo ambao wamenufaika kupitia Ajira Portal

Kwa hio Mimi sioni ubaya wa hiki kilicholetwa na mtoa mada kikubwa ni kuangalia je kwenye hiki anachokisema kweli kitaleta manufaa chanya kwa Taifa na kupunguza gharama km anavyosema km itawezekana basi kiangaliwe kwa undani na kifanyiwe majaribio kisha km kitakidhi vigezo kipitishwe sio Jambo baya
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…