Mfumo wa kujaza CELFORM kwa wanafunzi na wazazi mfumo haufunguki wiki nzima sasa tunaweza nini kama taifa

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
4,158
Reaction score
7,667
Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini .

Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…