Habari wadau
Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa
Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa.
Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa.
Tangazo limenyooka na details za kutosha..
Bongo tungekuwa tunafunga ndoa kwa mfumo huu . Ndoa zingekuwa zina maadili sana. Maana hakuna kuuziana mbuzi kwenye gunia.