Mfumo wa kusaka Mke/ Mume unaotumika Uarabuni mzuri sana. Dkt. Zakir Naik (islamic scolar) anamtafutia mke mwanae kwa Tangazo kama ajira vile

Mfumo wa kusaka Mke/ Mume unaotumika Uarabuni mzuri sana. Dkt. Zakir Naik (islamic scolar) anamtafutia mke mwanae kwa Tangazo kama ajira vile

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau

Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa

Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa.

Mfano tazama tangazo la Dr Zakir Naik ambaye ni islamic scolar maarufu duniani.. la kumtafutia mwanae wa kiume mke wa kuoa.

Tangazo limenyooka na details za kutosha..

Bongo tungekuwa tunafunga ndoa kwa mfumo huu . Ndoa zingekuwa zina maadili sana. Maana hakuna kuuziana mbuzi kwenye gunia.

614de5d7d8c66(1).jpg
614de5ff12d93.jpg
 
Oyaa wakuu wa matangazo ya kutafuta wenza, maelekezo ni yapitie kwa watu wa graphics huku mtuletee banner tu sio maelezo mengi.
 
Hiyo elimu ya huyo jamaa inaonesha wazi kwann mashekhe hawakuweza kupinga hoja za maaskofu badala yake wakafanya vioja
Ona huyu naye hoja muflisi

Zakir Naik ukiachilia mbali elimu kubwa ya dini aliyo nayo pia ana Bachelor ya medicine. Scolari
 
Kama muslimu scholar ndio wana akili kama za huyu basi,changamoto[emoji706]
 
Nimependa hapo black belt in taekwondo and karate. Mengine wajukuu wa FaizaFoxy watatudadavulia. Japo tangazo sio la hivi karibuni ni la miaka kadhaa iliyopita
 
Ila ndio ulikuwa utamaduni wa wazee wa zamani, baba ndiye aliyekuwa akimtafutia mke kijana wake, baada ya kufanyika vetting ya kutosha na kujilizisha kuhusu huyo mwanamke.Baada ya hapo mzee anakupa kipande cha ardhi, ukaanze maisha yako mwenyewe na mkeo.

Huyo Sheikh yupo sawa,japo hiyo approach ya mabango ndio naiona leo.
 
Back
Top Bottom