Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

Itug

Senior Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
196
Reaction score
72
Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana,
mfumo
unakutengenezea matokeo
unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho
unakuonyesha division summary kwa male na female
unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa dakika hizo mili tu.

unakuonyesha ufaulu kwa graph na unaandaa ripoti ya matokeo ya kila somo
unaweza kuchukua wanafunzi 250+ kwa darasa moja.
UTAWEZA KUPRINT RIPOTI KWA JUST A CLICK

UKIHITAJI MABORESHO WASILIANA NASI info@jihudumie.com au kwa whatsapp +254735748429.

Tunapenda kusikia maoni yenu na ushauri!

Huu hapa chini! Enjoy!

Mifumo ya shule za msingi na secondary (O-level na A-level) upo

PIA TUNAMFUMO UNAOTOA MATOKEO YA SHULE 30 NA MFUMO HUU UNAONYSHA SHULE BORA 10 NA SHULE 10 ZA MWISHO. VILEVILE UNATOA WANAFUNZI 10 BORA NA WANAFUNZI 10 WA MWISHO.

UNAONYESHA MCHANGANUAO WA MATOKEO KWA KILA SHULE NA RIPOTI YA SHULE MOJA MOJA. MIFUMO HII ITASAIDIA KATIKA MITIHANI YA MOCK, JOINT EXAMS, REGIONAL, DISTRICT, ZONE etc.

UKIHITAJI TUWASILIANE WHATSAPP +254735748429. TUNAPOKEA MAONI MABORESHO NA TUNATOA MSAADA WA MIFUMO YETU POPOTE ILIPO.


Tafadhali, fungua kwa computer au tablet kupata mwonekano mzuri na ufanyaji kazi wa excel functions.

ENJOY!!
 

Attachments

Hii tulitengeneza miaka flan huko 2015.

Wakatokea watundu wa ku develop software za matokeo. Ambayo unatumia kwenye website za shule nk. Mf galonus sek nk.

Siku hizi, bado shule zinajikongoja hazina
Pesa.
Wazazi wengi ni born before ( ushrikiano hakuna).

Wanafunz hawana time na ripoti zao.

Ni Bora liende. Hii ni nzr Kwa private school
 
Back
Top Bottom