KERO Mfumo wa OLAMS, Bodi ya Mikopo unagoma ku apply na siku zimebaki mbili tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kiibinda

Member
Joined
Feb 11, 2024
Posts
8
Reaction score
7
Ikumbukwe ziliongezwa siku za ku apply mkopo kwa elimu ya juu na kati kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Ila kwa sasa, ukiingia kwenye account ya kuombea mkopo, inaandika NO APPLICATION found, na ikiwa mtu amesha apply na hajamaliza stage, wasiwasi, nikwamba, zimebaki siku 2, yaani Jumatatu tarehe 14, ndiomwisho, na mfumo unasumbua.
 
Umenikumbusha kipindi hicho napambania kuomba mkopo ilikua tunaenda pale Mwananyamala A ile sehemu inauzwa ice cream siku hizi kulikua na internet cafe.

Na changamoto ikawa kama unayoexperience sasa hivi. Kipindi hicho nilikua namiliki nokia Xpress Music nimenunua kwa Isa Mwizi.

Nikaamka usiku saa nane nikafanya application kwa kutumia nokia Xpress Music. Nikawapigia simu washkaji kuwaambia mi imekubali huo usiku, kesho wakanitumia details zao na wenyewe nikawaombea usiku saa nane.

Kama lazima kusomea mkopo kopa. Ila kama idea yako ni ili uonekane na mpunga hapo chuo piga chini. Siku salary slip ikianza kuonyesha unachokatwa, jumla ya deni na lini litaisha unaweza kumind
 
😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.

Pia kwenye issue kama hizo ukiwa serious sana inabidi upambane siku za mwanzoni dirisha likifunguliwa au kama ukivyosema usiku wa manane sana.
 
hivi hilo deni kwa ambao hawajapata ajira rasmi wanalipaje, na taratibu za wenye mkopo kumdai huyo mdaiwa hela zao zipoje
 
Hadi uajiriwe. Serikali au Private. Ukijiajiri haulipi, hawajaweka Bado njia ya kukulipisha.
 
😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.

Pia kwenye issue kama hizo ukiwa serious sana inabidi upambane siku za mwanzoni dirisha likifunguliwa au kama ukivyosema usiku wa manane sana.
Acha tu mkuu.

Halafu unaweza hisi unaibiwa ila kila ukipiga hesabu unaona mule mule
 
hivi hilo deni kwa ambao hawajapata ajira rasmi wanalipaje, na taratibu za wenye mkopo kumdai huyo mdaiwa hela zao zipoje
Wao kukutrace ngumu so hapo ni inatarajiwa mdaiwa kwenda ofisi zao na kuweka payment structure.
Last time ilikua aliyejiajiri analipa 1M kila mwezi
 
Mnacheza na deadline. Hapo weka alarm, amka saa 8-9 usiku, fanya application.
Wazee wa deadline kama kawaida tupo na mkopo tunapata ....shida sio kufanya maombi usiku wa manane shida ni network yao wenyewe inaandka no application like kama IT kafunga dirisha hivi.
 
Wao kukutrace ngumu so hapo ni inatarajiwa mdaiwa kwenda ofisi zao na kuweka payment structure.
Last time ilikua aliyejiajiri analipa 1M kila mwezi
acha tuone utekelezaji
 
Uzi ufike mbali dk Bill unafanya kazi gani ofisini na mfumo haupo sawa.
 
Tunaomba mtufikishie suala hili kwa mamlaka husika. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) awali ilitoa muda wa kufanya maombi hadi tarehe 7 Septemba, kisha ikaongeza muda huo hadi tarehe 14 Septemba.

Hata hivyo, vyuo vingi vimetoa matokeo ya wanafunzi wanaoendelea wiki iliyopita na vingine wiki hii, ikiwemo Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Hali hii imewafanya wanafunzi wengi wasio na mkopo kushindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati.

Zaidi ya hayo, kwa sasa mfumo wa HESLB haufunguki, jambo linalozidi kuwanyima wanafunzi fursa ya kuwasilisha maombi yao ndani ya muda uliotangazwa.
 
Back
Top Bottom