😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.Umenikumbusha kipindi hicho napambania kuomba mkopo ilikua tunaenda pale Mwananyamala A ile sehemu inauzwa ice cream siku hizi kulikua na internet cafe.
Na changamoto ikawa kama unayoexperience sasa hivi. Kipindi hicho nilikua namiliki nokia Xpress Music nimenunua kwa Isa Mwizi.
Nikaamka usiku saa nane nikafanya application kwa kutumia nokia Xpress Music. Nikawapigia simu washkaji kuwaambia mi imekubali huo usiku, kesho wakanitumia details zao na wenyewe nikawaombea usiku saa nane.
Kama lazima kusomea mkopo kopa. Ila kama idea yako ni ili uonekane na mpunga hapo chuo piga chini. Siku salary slip ikianza kuonyesha unachokatwa, jumla ya deni na lini litaisha unaweza kumind
hivi hilo deni kwa ambao hawajapata ajira rasmi wanalipaje, na taratibu za wenye mkopo kumdai huyo mdaiwa hela zao zipoje😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.
Pia kwenye issue kama hizo ukiwa serious sana inabidi upambane siku za mwanzoni dirisha likifunguliwa au kama ukivyosema usiku wa manane sana.
Hadi uajiriwe. Serikali au Private. Ukijiajiri haulipi, hawajaweka Bado njia ya kukulipisha.hivi hilo deni kwa ambao hawajapata ajira rasmi wanalipaje, na taratibu za wenye mkopo kumdai huyo mdaiwa hela zao zipoje
hapo ni changamotoHadi uajiriwe. Serikali au Private. Ukijiajiri haulipi, hawajaweka Bado njia ya kukulipisha.
Acha tu mkuu.😁😁😁, hakuna deni linauma kama hilo.
Pia kwenye issue kama hizo ukiwa serious sana inabidi upambane siku za mwanzoni dirisha likifunguliwa au kama ukivyosema usiku wa manane sana.
Wameweka mzee.Hadi uajiriwe. Serikali au Private. Ukijiajiri haulipi, hawajaweka Bado njia ya kukulipisha.
Wao kukutrace ngumu so hapo ni inatarajiwa mdaiwa kwenda ofisi zao na kuweka payment structure.hivi hilo deni kwa ambao hawajapata ajira rasmi wanalipaje, na taratibu za wenye mkopo kumdai huyo mdaiwa hela zao zipoje
Unapata wapi asa kama sio employeeWameweka mzee.
Unakua unalipa kwa flat rate kila mwisho wa mwezi
Wazee wa deadline kama kawaida tupo na mkopo tunapata ....shida sio kufanya maombi usiku wa manane shida ni network yao wenyewe inaandka no application like kama IT kafunga dirisha hivi.Mnacheza na deadline. Hapo weka alarm, amka saa 8-9 usiku, fanya application.
Hiyo ni kwa aliyejiajiriUnapata wapi asa kama sio employee
acha tuone utekelezajiWao kukutrace ngumu so hapo ni inatarajiwa mdaiwa kwenda ofisi zao na kuweka payment structure.
Last time ilikua aliyejiajiri analipa 1M kila mwezi