Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Huu mfumo wetu wa elimu kweli ni shidaaaa. Mpaka mtu anajiunga na jamii forum hajui maana ya pesa, ilianza vipi, inahusiana vipi na uzalishaji, ina maana gani mzunguko wa fedha, kwa nini kuna noti chakavu na mpya? Hii nchi sasa ipo hatarini. Wengi waliopo jamii forum ni watu ambao wameshamaliza sekondari. Lakini elimu ya kawaida ya dunia hwaijui. Maana yake wamenyimwa haki hiyo mpaka mwisho wao. Hii inatisha sana. Kuzaliwa mjinga, kuishi mjinga na kufa mjinga. Basi tujipange walau kizazi kijacho wasiishi ujinga huu.
swali langu kuhusu pesa ni hili, kwa nini huwa hakuna "calibration" katika thamani ya vitu?, mathalani ili kupunguza manamba marefu kwenye pesa kwa nini wasifanye hivi, ShILINGI 10000 YA SASA IWE ni shilingi 100, na shilingi 5000 ya sasa iwe shilingi 50, shilingi 1000 igeuzwe iwe shilingi 10, silingi 500 iwe shilingi 5, shilingi 100 iwe shilingi 1, na shilingi 50 igeuzwe iwe senti 50. LAKINI PAMOJA NA KUGEUZWA HUKO PESA HIZO MPYA ZIWEZE KUWA NA THAMANI YA KUNUNUA ILEILE KAMA ZILE ZENYE MANAMBA MAKUBWA?
Blac Kid hayo ndiyo majanga zaidi. Kwa kifupi kwa sasa Tanzania ina hali mbaya sana kielimu. Tupo kwenye ukoloni mbaya kuliko wa mzungu. Ukipewa elimu duni, maana yake unaishi mjinga mpaka kufa. Ndio maana tunakiwa kupambana sana tubadili mfumo wa elimu kwa ajili ya kizazi kijacho. Hizi program za shule za kata na maabara ambazo hazina walimu bora, vifaa sahii na mfumo imara ni upotezaji wa muda. Tunatakiwa tuanzie pale tulipofanya makosa ya kwanza, zamani miaka ya themanini. Vinginevyo Tanzania itatawaliwa sasa na nchi jirani kama Uganda na Rwanda.

Hiki kitu kishafanyika, Wafaransa washafanya kwenye Faranga na kwenda kwenye Faranga mpya (from Franc to New Franc) walifanya hivyo If memory serves.
Tatizo linakuja, this is just accounting. Hukuzi uchumi kwa ku manipulate fedha, unakuza uchumi kwa kuzidisha uzalishaji.
Unaweza kupata psychological boost ndogo na kusaidia watu kutotembea na fedha nyingi za denomination kubwa, lakini the real effect is in production, not currencies.
Kama nchi haina uzalishaji haina uzalishaji tu. Kama mchele haupo utakuwa haupo tu, whether kilo ni shilingi moja au elfu moja.
True economic status must be neasured by a correlation with a basket of goods and services, not arbitrary construed currencies.
Asante mkuu kwa kunielewesha kwa kiasi hicho..lakini sasa je ni kweli hua wanabadilishana pesa kwa vitu vyenye thamani au ni kuhisi tu?
mkuu Kiranga
Najua kua zikitengenezwa mpya old ones hua destroyed(kama ni kweli)
Je hivi kuharibu zile za zamani unapotengenezewa mpya does it mean unawalimit raia kiasi cha umiliki wa pesa?
Sijalielewa vizuri swali lako.
Unauliza kama serikali zinazoweka order ya kuchapisha pesa zinabadilishana na wachapishaji hao pesa kwa vitu vyenye thamani?
Kama swali ni hilo, mostly wanabadilishana pesa kwa pesa.
Serikali inatoa order kwamba inataka kwa mfano noti milioni moja za shilingi elfu kumi, kila noti gharama.za kuichapisha na kuisafirisha ni senti kumi za dola ya kimarekani, serikali inawalipa wachapishaji senti kumi mara milioni moja inakuwa US $ 100,000. Kwa hiyo tunapata noti milioni moja za shilingi elfu kumi kila moja (thamani yake ni 10,000 times 1,000,000 = shilingi 10,000,000,000 , shilingi bilioni kumi).
Kwa jinsi ninavyoelewa hivyo ndivyo uchapaji wa fedha unavyofanywa.
Fedha ni bidhaa tu kama bidhaa nyingine.
Ile noti ya 10,000 ina gharama yake ya uchapishaji, ambayo kwa kawaida inakuwa ni ndogo sana ukiilinganisha na hiyo 10,000 yenyewe. Inaweza kuwa kati ya shilingi mia na mia mbili.
Mkuu jinsi ulivyonijibu ndivyo nilivyotaka
unamaanisha wale watu hua wanafanya hiyo kazi kwa uaminifu tu?kwasababu wanauwezo wa kuchapisha pesa wakazitumia bila malipo yenu sababu zina thamani kuliko mnachowalipa..
Au serikali inaoda na namba za fedha zinazohitajiaka hivyo kuwalimit watengenezaji kutotengeneza zaidi?
Katika uchumi wa leo raia anaweza kumiliki pesa ambazo ni figures tu katika computer, na hazipo noti.
Anatumia card tu kulipia, hesabu zinafanyika kwenye computer, anazolipa zinatolewa kwenye akaunti, zinazoingia zinaingia.
Ila kibongobongo huko bado hatujafika kwa sana.
Benki kuu huangalia milinganyo ya uwepo wa fedha katika mzunguko kabla ya kuamua kuchoma.za zamani ili kutosababisha upungufu wa fedha katika physical circulation.
Mkuu safi sana umeongelea suala la fedha katka mfumo wa digit kwenye computer. Mfano mtu wa BOT Let say gavana akaamua kuwa na uzalendo wa kihitler katika nchi yake mfano manunuzi ya vitu vya thamani ya tilioni 10 nchini china yeye akaandika digit hizo na kuclick let say tilioni 10 kutoka a/c ya BoT kama malipo ya mitambo ya ujenzi wa barabara kwenda kampuni la caterpillar kupitia paypal/payza au benki yeyote mfano barclays. Swali je nchi/kampuni husika inawezaje kugundua/kuzuia huo ufisadi?
Hapo hapo naongezea, wakati nchi haina hela kwanini tusiwaambie marafiki zetu wachina wakatujengea kiwanda cha hela hapa ili tuzalishe wenyewe
gharama ya kutengeneza sarafu zetu (coins) ni kubwa kuliko thamani ya hiyo sarafu. Yaani gharama ya kutengeneza coin ya Tsh 100 ni kubwa zaidi ya mara tano ya thamani yake (materials, design and manufacture). Hayo mambo ni complex sana.
Kama hivyo mtu anaweza kuzikusanya sarafu kibao za sh mia, halafu akaziyeyusha na kuuza shaba kwa faida.
I doubt your information is correct.
Shaba inauzwa US $ 3 kwa ratili.
Sarafu moja ya shilingi mia ina.uzito gani?
Hayo mambo yanawezekana na yanafanyika.
Ila kuna "checks and balances" zinafanywa ili kuhakikisha wizi unakuwa mgumu. Unaweza kukuta process ya manunuzi makubwa inahusisha watu wengi na mtu mmoja au wawili hawawezi kukamilisha wenyewe. Ila kama wakubwa kumi wakikutana na kukubaliana kuiba hivyo wanafanya. Watu wakija kushtuka kwenye ukaguzi wa mahesabu huko.
Na kuna mambo mengine yannadikwa "usalama wa taifa" rais anaweza kupiga deal na gavana na waziri wa fedha, wanakwiba wanavyotaka.