Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
swali langu kuhusu pesa ni hili, kwa nini huwa hakuna "calibration" katika thamani ya vitu?, mathalani ili kupunguza manamba marefu kwenye pesa kwa nini wasifanye hivi, ShILINGI 10000 YA SASA IWE ni shilingi 100, na shilingi 5000 ya sasa iwe shilingi 50, shilingi 1000 igeuzwe iwe shilingi 10, silingi 500 iwe shilingi 5, shilingi 100 iwe shilingi 1, na shilingi 50 igeuzwe iwe senti 50. LAKINI PAMOJA NA KUGEUZWA HUKO PESA HIZO MPYA ZIWEZE KUWA NA THAMANI YA KUNUNUA ILEILE KAMA ZILE ZENYE MANAMBA MAKUBWA?