Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

Kwa kulingana na orodha iliyo tolewa mpaka sasa kweli kuna vituko vingi.

Imagine mtu aliwahi kuitwa mzee wa vijisenti kutokana na kadhfa za kifisadi.

Halafu bila aibu leo amekuwa msafi na anajiona anafaa kukabidhiwa uspika?

Labda kama ni mpango mzima wa Team Msoga kutaka kuukamata vizuri mhimili huu wa pili, baada ya kufanikiwa kwenye mhimili wa kwanza.

Ili mambo wayatakayo yatimie kwa jina la Jamm-huru!

#Gentamycine umelenga ukweli wala hujamuonea mtu.
 
hapo kwenye jazba ndio shida! huyu mama sijui kama ana watoto namuona kama DESPERATE fulani hivi! ni mnyakyusa anayejiskia sana hata kuongea alijifanya anaongea kiingereza cha kimarekani pumbafu!

CCM mkimleta huyu ndugu yake GENTAMYCIN mtaisoma namba maana ni zao kuu la MWENDAZAKE
 

Huyu amatetea kuikosoa serekali kwa adabu.

Huyu atalifanya bunge ambalo ni dhaifu kuwa dhaifu zaidi.
 
Nchi ingekua makini Naibu Spika angeachia ngazi kwanza kabla ya kuchukua fomu ya Spika. Tamaa
 
Twende na Daktari King Musukuma, Bunge lenyewe komedi tuweke clown comedy iendelee!

Ikishindikana basi JOKA likawatolee makengeza yake pale mjengoni,

Betina kwakweli NO. Majibu aliyotoa juzi kati nimemuona mlafi wa madaraka na ana dharau Sana!
 
Nchi ingekua makini Naibu Spika angeachia ngazi kwanza kabla ya kuchukua fomu ya Spika. Tamaa
Akipata hiyo nafasi itakuwa wazi sasa wewe unatakaje? Katiba imevunjwa? Hata ukipata ajira mbili huwa inatakiwa kuachia moja sasa huwezi achia hujapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…