Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter One hadi Chapter Three ya Research Proposal yake hawezi na hajajua huku akiwa hana hata Rekodi ya Uongozi kutokea Shuleni kwa mshangao kabisa na chenyewe Kimejichukulia Fomu ya Kugombea huo Uspika.

Na wa mwisho Wana CCM wengi wanamjua ni 'Mdangaji' mkubwa na miaka kadhaa alinusurika Kufamaniwa na Mume wa Mtu Hotelini Dodoma, Bingwa wa Madeni katika VICOBA vyake Tabata na Tegeta, Elimu yake ni ya Manati ( ya Kuunga unga ) tupu na ni 'very poor in dialogue and debate' na cha Kunisikitisha nae kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna uwezekano Wajumbe wa CCM wasipokuwa makini Wakatuchagulia Mwendawazimu, Mpuuzi na Danga kuwa Spika na Kumrithi Spika Job Ndugai na ndiyo maana kwa Umakini na Uhakika wangu GENTAMYCINE jana hapa JamiiForums nimesema najua watajitokeza Wengi Kugombea na wapo wengine ninaowaheshimu .

Lakini ( hata hivyo ) Kwangu Mimi kwa Vigezo vingi na Sababu zangu nyingi namuona aliyekuwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiye anafaa hivyo apitishwe na wana CCM bila Chuki au Mizengwe dhidi yake na Inshallah / Amen sina wasiwasi ni Yeye ( Dk. Tulia Ackson ) atachaguliwa na kuwa Spika wa Bunge la JMT.
Kwa kulingana na orodha iliyo tolewa mpaka sasa kweli kuna vituko vingi.

Imagine mtu aliwahi kuitwa mzee wa vijisenti kutokana na kadhfa za kifisadi.

Halafu bila aibu leo amekuwa msafi na anajiona anafaa kukabidhiwa uspika?

Labda kama ni mpango mzima wa Team Msoga kutaka kuukamata vizuri mhimili huu wa pili, baada ya kufanikiwa kwenye mhimili wa kwanza.

Ili mambo wayatakayo yatimie kwa jina la Jamm-huru!

#Gentamycine umelenga ukweli wala hujamuonea mtu.
 
Hapigiwi debe....

Dr.Tulia anatosha kwa mengi.....

Amejifunza vya kutosha.....
Elimu yake na weledi wa sheria alionao....
Uzalendo wake kwa nchi na haswa kwa itikadi zetu bora za chama bora CCM.......

Kikubwa tu APUNGUZE JAZBA kwa baadhi ya hoja zenye "kukereketa"
hapo kwenye jazba ndio shida! huyu mama sijui kama ana watoto namuona kama DESPERATE fulani hivi! ni mnyakyusa anayejiskia sana hata kuongea alijifanya anaongea kiingereza cha kimarekani pumbafu!

CCM mkimleta huyu ndugu yake GENTAMYCIN mtaisoma namba maana ni zao kuu la MWENDAZAKE
 
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter One hadi Chapter Three ya Research Proposal yake hawezi na hajajua huku akiwa hana hata Rekodi ya Uongozi kutokea Shuleni kwa mshangao kabisa na chenyewe Kimejichukulia Fomu ya Kugombea huo Uspika.

Na wa mwisho Wana CCM wengi wanamjua ni 'Mdangaji' mkubwa na miaka kadhaa alinusurika Kufamaniwa na Mume wa Mtu Hotelini Dodoma, Bingwa wa Madeni katika VICOBA vyake Tabata na Tegeta, Elimu yake ni ya Manati ( ya Kuunga unga ) tupu na ni 'very poor in dialogue and debate' na cha Kunisikitisha nae kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.

Kuna uwezekano Wajumbe wa CCM wasipokuwa makini Wakatuchagulia Mwendawazimu, Mpuuzi na Danga kuwa Spika na Kumrithi Spika Job Ndugai na ndiyo maana kwa Umakini na Uhakika wangu GENTAMYCINE jana hapa JamiiForums nimesema najua watajitokeza Wengi Kugombea na wapo wengine ninaowaheshimu .

Lakini ( hata hivyo ) Kwangu Mimi kwa Vigezo vingi na Sababu zangu nyingi namuona aliyekuwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson ( Sakho ) ndiye anafaa hivyo apitishwe na wana CCM bila Chuki au Mizengwe dhidi yake na Inshallah / Amen sina wasiwasi ni Yeye ( Dk. Tulia Ackson ) atachaguliwa na kuwa Spika wa Bunge la JMT.

Huyu amatetea kuikosoa serekali kwa adabu.

Huyu atalifanya bunge ambalo ni dhaifu kuwa dhaifu zaidi.
 
Nchi ingekua makini Naibu Spika angeachia ngazi kwanza kabla ya kuchukua fomu ya Spika. Tamaa
 
Twende na Daktari King Musukuma, Bunge lenyewe komedi tuweke clown comedy iendelee!

Ikishindikana basi JOKA likawatolee makengeza yake pale mjengoni,

Betina kwakweli NO. Majibu aliyotoa juzi kati nimemuona mlafi wa madaraka na ana dharau Sana!
 
Nchi ingekua makini Naibu Spika angeachia ngazi kwanza kabla ya kuchukua fomu ya Spika. Tamaa
Akipata hiyo nafasi itakuwa wazi sasa wewe unatakaje? Katiba imevunjwa? Hata ukipata ajira mbili huwa inatakiwa kuachia moja sasa huwezi achia hujapata.
 
Back
Top Bottom