Mfumo wa vyama vingi ni mfumo uliofeli kwa Nchi za Afrika na haukuja kuisadia Afrika, Tuuboreshe kabla hali haijawa mbaya

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia.

Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili ya Nchi ,lakini pia inasaidia nchi kupata viongozi mbadala republican wakileta kiongozi asie faa anachukuliwa wa democratic .

Lakini pia imeongeza ufanisi kila chama kikiingia kina lazimika kufanye vizuri.

Wana namna yao ya kupata Rais .

Kwa upande wa Afrika , baada ya Nchi nyingi kupata uhuru ikatafutwa namna ya kuweza kuingia kirahisi katika mfumo wa Nchi ndio ukaja mfumo huu miaka ya 1990 . Lengo ni lile kunufaika kupitia Africa.

Mfumo huu waafrika tuliuchukua kama ulivyo bila kujali kuna uroho wa madaraka , kuna mabeberu , kuna vibaraka na wasaliti ..n.k

Mfumo wa vyama vingi unaendana na katiba iliyo bora sana kitu ambacho Nchi nyingi za Afrika hazina .

Haya matukio ya kutekwa , kupotea, mauaji kuna watu wananufaika , kuna vyama au vikundi vina nufaika lakini pia kuna Nchi zinanufaika .

Na haya yote ni matokeo ya mfumo mbovu na katiba mbovu , kila mtu anafanya ili kumfurahisha aliye mteuwa au Mwenyekiti wa Chama ..etc

Kuna haja ya kubadili katiba na kuwa na mfumo wa vyama vingi unaendana na sisi waafrika .​
 
View attachment 3090860
Naunga mkono,ufutwe maana hauna Msaada
 
Back
Top Bottom