Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/...
Unatafuta kutukanwa na waunga juhudi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Waione CCM..UVCCM..JUMUIYA YA WAZAZI.
 
Nyumisi, wakati unachagua wa kumpigia kura huwa humpimi mgombea mwenza/msaidizi?

Maana yeye uliyemchagua anachagua mtu ambaye ikitokea hayupo basi anaamini atamalizia kazi yake vizuri. JPM mara mbili zote aliamua kwenda na Samia.

Mfano, mgombea akasimama na mgombea mwenza shoga utampa kura?

Katiba mpya itapatikana tu hakuna shaka. Ni suala la muda.
 
Yule mpumbavu si ndio alikuwa akiwaambia wakulima wauze bei juu mazao wanaolalamika wakalime wao?
 
Mkuu wananchi huwa wana concentrate zaidi na rais kuliko makamu wa rais, hili swala inabidi liangaliwe vizuri kwenye katiba mpya...
 
Si tulitaka soko huria ,ukiamua kula mboga za majani hutakufa,tumia miti kupiga mswaki tena inasugua vizuri ukifanya hivyo bei ya nyama na dawa ya meno itashuka
 
Mpaka maccm yanyoke kwanza ndio tutashusha bei.
 
Na vifaa vya ujenzi? Navyo masoko ya nje yamefunguka?
Ukweli ni kuwa Kuna inflation

Kuna inflation ndio. Na si jambo baya kwa mfanyabiashara na mwanachi mwenye shughuli zake. Ni mbaya kwa mnyonge anayetaka nchi ya ujamaa asilimia 100.

Inflation inakuwa mbaya endapo ikivuka mstari pesa ikawa nyingi sana mtaani kuliko bidhaa. Na hii itatokea kama wanyonge watakuwa wengi kuliko wachakarikaji.

Vifaa vya ujenzi ni sahihi kabisa kupanda maana
demand sasa inaongezeka na mafuta petrol pia yameongezeka bei, watu/mashirika yameanza kurudi sight kwa kasi huku bidhaa zikiwa chache sokoni kutokana na madhara ya covid.

Wewe mwananchi unachotakiwa kufanya ni kujiweka sehemu ambayo pesa itakupitia kwa kuongeza uzalishaji na kuhimiza serikali mishahara iongezwe kukuza uhitaji wa shughuli zako.
 
Wapi uko
 
Inflation humgusa kila mtu hata mtumishi
 
Mama kafungua geti hela inaingia mitaani...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Uongezee hapo bei vya kingamuzi cha azam na vifurushi vya mitandao ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…