Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

Poleni..bado umeme mana soon tutawakatia hamjalipa de
Poleni..bado umeme mana soon tutawakatia hamjalipa deni limeongezeka.

#MaendeleoHayanaChama
Kama mnavyokatiana nyinyi huko maana Tanzania bara umeme utafikiri huwa hawalipi. Huwezi kukaa wiki lazima utashuhudia umeme umekatika. Kutawala mazuzu raha sanaaa na wenyewe tuliii wamepoa ubabe wao kwa makonda wa daladala tu. Yani wabongo elimu ya uraia 0
 
Mimi nashangaaa , unasherehekeaje Mapinduzi wakati wananchi hawana maji? hizo bilioni mlizotumia kwa sherehe kwa nini msiwatatulie wananchi kero ya Maji?

Mji mchafu lakini kila unapopita ofisi za Serekali zimewekwa matambara. ukija Malindi ambako ndio downtown kuna vumbi kama Afghanistan
 
Mazuzu..hao wanao tumia umeme bila kulipa na kujiita nchi..ambayo haiwezi kulipa deni la umeme mpaka msamaha..awamu hii jiandaeni na vikoroboi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora nyie, sir bara mkare super loaf ni 1400 tshs, Michele Kati 1800 low quality mpaka 2600 high quality, mafuta ya kula kwa lita no kuanzia 5000 mpaka 8500 kutegemea na Sina ya mafuta. Wanzanzibari mshukuruni hata huyo mwinyi.
 
MTANIKUMBUKA !!!
 
Kwani hamjasikia yeye na dada yake wamekopa trilioni 1.3? Safari hii lazima mlipe deni hatutakubali
 
Zanzibar mafuta ya vyombi vya Moto hayajapanda.. sijaona kama umelalamika hapa
 
Wamezoea kubebwa kwa mbeleko,wasubiri Samia awabebe, maana wenzetu Wana Marais wawili.
 
Mimi mwenyewe nashangaa sana,ilibidi sasa hivi wawe wanavimba tu.
 
Na hivi mnalima vanilla tu ombeni sana muungano usife tutaeaizia nyama kilo moja 20,000 na hamna ujanja mkileta fyoko hatuwauzii tunapeleka comoro.

Halafu tunapunguza bei ya kitimoto [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…