kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Itakuwa scons moja hiyoMkate shilingi 250 mnalalamika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa scons moja hiyoMkate shilingi 250 mnalalamika?
Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya Wazanzibari Rais Mwinyi alivyoingia madarakani ilikuwa 1kg ni Tshs 1600 wa bei ya chini wanaita mapembe mchele mbovu sana huu sasa umepanda hadi ni Tshs 2000/= per kilo
3. Mchele wa mbeya ambao ni standard kule bara hauzidi Tshs 2000/- per kilogram, Lakini ukiuliza mchelewa mbeya zanzibar utakuta bei zinaanzia 2200/- per kg ambao huu ni chenga tupu, unafuata mchele mwengine wa kawaida 2400/- per kg., unafuata mwengine hadi 2800/- per kg ni tofauti sana maisha haya na awamu iliyopita ya Dr. Ali Mohamed Shein.
4. Sukari ilikuwa Tshs 2000/- per kg sasa wanauza 2400/-
5. Mafuta ya kupikia nusu lita ilikuwa 1000/- sasa ni Tshs 2000/=
6. Sahani ya chips plain ikiuzwa 1500/- sasa wamelazimika kupandisha hadi 2000, ambapo chips mayai ikiuzwa 2500/- sasa ni Tshs 3000/=
Huu ni mfano wa bidhaa kwa vyakula fulani fulani lakini takriban hali ni hiyo hiyo kwa vyakula vilivyobakia kama maharage, kunde nk.
Lakini kama haitoshi adha ya maji imerudi ambapo sasa unaweza kukaa mwezi mieizi miwili ama wiki 3 kwa kiwango cha chini maji hayatoki kwenye mabomba watu inabidi wayafuate maji maeneo ya mbali sana tofauti na awamu ilyopita ya Dr. Mohammed Ali Mohamed Shein ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kuondoa kero ya maji visiwa vya Zanzibar.
Lakini kama haitoshi mahospitali dawa hamna inabidi ununua hadi bomba ya sindano baadae urudi kwa daktari akuchome sindano. nadhan haileti picha nzuri sana kwa Mhe, Rais wetu mpendwa hali imekuwa ni tete sana Zanzibar katika maisha ya watu
Nimeona niilete hapa hii kwenu wadau na labda Mhe. anaweza kulijua hili na kujitathmini kwa muda ambao sasa ameingia madarakani
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
Wazanziri wamekuwa wakepewa maneno laini laini lakini sidhani kama hii hali itawapeleka mbele zaidi.
Kwenu wadau katika hili.
Ndio maana wako rojorojo sana.Mkuu mkate wa boflo ni mkate wa kawaida sana, lakini lazima ufahamu kwa maisha ya wazanzibari huu mkate asilima 90% ya wazanzibari ndio wanaolalia na kuuamkia., kama hukuununua asubuhi basi jioni na usiku utausaka tu.,
Ni tofauti sana unavyoyachukuliwa maisha ya baadhi ya watu ukalinganisha na huko ubongoni
Ugali unavimbisha kiuno ndio mana Wazanzibar wanauchukia ugali, matako ndo issueNdio maana wako rojorojo sana.
Huku kwetu Kahama bila ugali wa Kushiba mtu hakuna atakaye kwenda kulala. Na Kama umeoa binti wa mtu usitegemee kumlisha mkate halafu usiku umwambie geukia huku. Utakaa na hicho kidude chako mpaka kiote kutu.
Kisado elf4He tungule shilingi ngapi ?
Habari ataipata tu uchaguzi unakuja 2025Huyo unayemsema na team yake wala hawana habari kabisa.
ulitaka wale ugali wavimbe kiunoNyie watu rojorojo/mchelemchele Sana aisee
Dr. Mwiny amekuja kuchuma tu Zanzibar kujiongezea utajiri na ukoo wake, zanzibar haimuumi hata kidogo yeye kwao ni Tanganyika, tokea aingie madarakani sasa ameshakusanya hela kibao lakini hakuna alichowaneemesha zanzibar.,Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya Wazanzibari Rais Mwinyi alivyoingia madarakani ilikuwa 1kg ni Tshs 1600 wa bei ya chini wanaita mapembe mchele mbovu sana huu sasa umepanda hadi ni Tshs 2000/= per kilo
3. Mchele wa mbeya ambao ni standard kule bara hauzidi Tshs 2000/- per kilogram, Lakini ukiuliza mchelewa mbeya zanzibar utakuta bei zinaanzia 2200/- per kg ambao huu ni chenga tupu, unafuata mchele mwengine wa kawaida 2400/- per kg., unafuata mwengine hadi 2800/- per kg ni tofauti sana maisha haya na awamu iliyopita ya Dr. Ali Mohamed Shein.
4. Sukari ilikuwa Tshs 2000/- per kg sasa wanauza 2400/-
5. Mafuta ya kupikia nusu lita ilikuwa 1000/- sasa ni Tshs 2000/=
6. Sahani ya chips plain ikiuzwa 1500/- sasa wamelazimika kupandisha hadi 2000, ambapo chips mayai ikiuzwa 2500/- sasa ni Tshs 3000/=
Huu ni mfano wa bidhaa kwa vyakula fulani fulani lakini takriban hali ni hiyo hiyo kwa vyakula vilivyobakia kama maharage, kunde nk.
Lakini kama haitoshi adha ya maji imerudi ambapo sasa unaweza kukaa mwezi mieizi miwili ama wiki 3 kwa kiwango cha chini maji hayatoki kwenye mabomba watu inabidi wayafuate maji maeneo ya mbali sana tofauti na awamu ilyopita ya Dr. Mohammed Ali Mohamed Shein ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kuondoa kero ya maji visiwa vya Zanzibar.
Lakini kama haitoshi mahospitali dawa hamna inabidi ununua hadi bomba ya sindano baadae urudi kwa daktari akuchome sindano. nadhan haileti picha nzuri sana kwa Mhe, Rais wetu mpendwa hali imekuwa ni tete sana Zanzibar katika maisha ya watu
Nimeona niilete hapa hii kwenu wadau na labda Mhe. anaweza kulijua hili na kujitathmini kwa muda ambao sasa ameingia madarakani
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
Wazanziri wamekuwa wakepewa maneno laini laini lakini sidhani kama hii hali itawapeleka mbele zaidi.
Kwenu wadau katika hili.
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
😜Kwani wao hawaendagi kuchunga ng'ombe?Asubuhi wale ugali wa dona au makande kwa nswalu!
Ukimwi umeona ni ishu? Kuleni kasa na nguruwe nyie. Hatuleti nyama ya ng'ombe Wala Mchele na mnavyopenda pilau na kulakula pumbavu. Tunauza kitimoto tu Kama mnataka semeni tuwaletee Kama hamtaki kuleni kasa mpaka mfe kama paka.Huko kwa mchongameno si mnakufa kwa UKIMWI
Punguza hasira[emoji23][emoji23]Ukimwi umeona ni ishu? Kuleni kasa na nguruwe nyie. Hatuleti nyama ya ng'ombe Wala Mchele na mnavyopenda pilau na kulakula pumbavu. Tunauza kitimoto tu Kama mnataka semeni tuwaletee Kama hamtaki kuleni kasa mpaka mfe kama paka.
Mkae kwa kutuheshimu sana tukikata umeme, maji, simu, mnakufa kama wadudu acheni kutusumbua na visuruali vyenu don't touch.
Mnaongea mno mnaishi bure sana tunawaangalia tu eti mnataka usawa wa muungano kwa pesa gani mnayoleta ? Madini tunachimba sisi, gas, mafuta, makaa ya mawe, kilimo, ufugaji haya yote hamuono nyie mnakula urojo tu.
Kodi mnalipa nusu ya Kodi tunayolipa sisi, maana ukiagiza bidhaa Zanzibar lazima ulipie nusu Kodi nyingine zaidi ya uliyolipa. Kuna mwenzio analalamika eti mkate wa boflo umepanda bei umekuwa 250 pumbavu sana huku hamtaweza kuishi mkate ni 1500 hutaki kale mihogo ulale.
Msituchukulie poa mnaongeaongea tunawaangalia tu. Tutaacha kuwaletea nyama ya ng'ombe tunauza nguruwe tu, halafu tuone kama hamtanunua na mlivyo waroho sasa hivi tu yenyewe tunaleta nguruwe kibao na ndio wateja wakuu ni nyie. Uliza uambiwe.
Kitimoto inanunulika sana Zanzibar na Pemba Tena kilo 15,000. Tunawaangalia tu mnavyojifanya wanafiki.
Ameniudhi analeta madharau wakati tunawalisha bure . Wanalima karafuu wale hizo karafuu sasa.Punguza hasira[emoji23][emoji23]
Huu ujinga kaongee na Mkeo ndio atakusikilizaTunazo taarifa Dr. Mwinyi ameshakusanya hela za kutosha tangia aingie madarakani lakini helza hizo hajatumia ata cent kwa maendeleo ya Zanzibar., tunaungana na wale wasemao Mwinyi amenda kujitajirisha yeye binafsi na aila zake ukoo wa panya., Mwinyi sio mzanzibari ni mzigo tu umeletwa kuwatawala wazanziri, kwao ni mkuranga
Dr. Mwinyi hakuwahi kumuenzi Maalim Seif ata mara moja, Maalim Seif alikuwa na sera ya kusamehe kodi za bidhaa za vyakula pale bandarini ili wananchi kupata nafuu ya bei za chakula zanzibar lakini mwenyi hakuwahi lifikiria hilo bado anawakamua Wazanzibari sasa Wazanzibari wameamka., hoja yako ya inflamation duninai Mwinyi kwanza angefanya hili tukaona kama kutakuwa na inflamation yoyote kwa bidhaa za chakula.,
Ni ujinga kuchukua reference ya nchi nyengine kutokana na kupanda au kushuka bei katika nchi yako wakati unalo jambo la kufanya kuwapa nafuu watu unao dai ni watu wako kwenye nchi yako., Wazanzibari wanamuangalia kwa macho mawili itafika muda watasema It's over.
Kwani mwaka juzi mlimchagua?Habari ataipata tu uchaguzi unakuja 2025
Unayosema ni kweli kabisa, mfumko wa bei ni mkubwa sana, karibu kila kitu nikienda dukani vimeongezeka bei,Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.