Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kina hami j buanaMkate shilingi 250 mnalalamika?
Kwani ni mkate basi , ni SKONZI, ndio wanaita mkate, hahaaaMkate shilingi 250 mnalalamika?
Poleni..bado umeme mana soon tutawakatia hamjalipa de
Kama mnavyokatiana nyinyi huko maana Tanzania bara umeme utafikiri huwa hawalipi. Huwezi kukaa wiki lazima utashuhudia umeme umekatika. Kutawala mazuzu raha sanaaa na wenyewe tuliii wamepoa ubabe wao kwa makonda wa daladala tu. Yani wabongo elimu ya uraia 0Poleni..bado umeme mana soon tutawakatia hamjalipa deni limeongezeka.
#MaendeleoHayanaChama
Ishu ni Tsh 50 kwenye mfumuko wa bei km agenda na mkate umetumika km mfanoYaan nyie wazanzibar mnalalamika mkate kuuzwa tsh 250/=?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mimi nashangaaa , unasherehekeaje Mapinduzi wakati wananchi hawana maji? hizo bilioni mlizotumia kwa sherehe kwa nini msiwatatulie wananchi kero ya Maji?hii shehia ya uswahilini kwetu huduma ya maji ya ZAWA inapatikana kila baada ya siku 3 au 4, na walivyo wahuni wanaweza kutufungulia maji majira ya saa 7 usiku, hapo tena utachagua usingizi au maji.
kwa sasa tumekuwa tukitegemea zaidi huduma ya maji tuliounga kwa michango ya wanakijiji kuliko maji ya serikali.
serikali za manigga hazijawahi kuwa na huduma zenye uhakika.
siku mbili kabla ya sherehe za mapinduzi walitoa huduma ya maji mchana kutwa
ngoja tusubirie huu mradi mpya wa maji walioanza kuchimbia mabomba, pengine tunaweza kupata unafuu.
Mazuzu..hao wanao tumia umeme bila kulipa na kujiita nchi..ambayo haiwezi kulipa deni la umeme mpaka msamaha..awamu hii jiandaeni na vikoroboi.Kama mnavyokatiana nyinyi huko maana Tanzania bara umeme utafikiri huwa hawalipi. Huwezi kukaa wiki lazima utashuhudia umeme umekatika. Kutawala mazuzu raha sanaaa na wenyewe tuliii wamepoa ubabe wao kwa makonda wa daladala tu. Yani wabongo elimu ya uraia 0
Bora nyie, sir bara mkare super loaf ni 1400 tshs, Michele Kati 1800 low quality mpaka 2600 high quality, mafuta ya kula kwa lita no kuanzia 5000 mpaka 8500 kutegemea na Sina ya mafuta. Wanzanzibari mshukuruni hata huyo mwinyi.Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.,
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya Wazanzibari Rais Mwinyi alivyoingia madarakani ilikuwa 1kg ni Tshs 1800 wa bei ya chini sasa ni Tshs 2400/= per kilo
3. Sukari ilikuwa Tshs 2000/- per kg sasa wanauza 2400/-
3. Mafuta ya kupikia nusu lita ilikuwa 1000/- sasa ni Tshs 2000/=
3. Sahani ya chips plain ikiuzwa 1500/- sasa wamelazimika kupandisha hadi 2000, ambapo chips mayai ikiuzwa 2500/- sasa ni Tshs 3000/=
Huu ni mfano wa bidhaa kwa vyakula fulani fulani lakini takriban hali ni hiyo hiyo kwa vyakula vilivyobakia kama maharage, kunde nk.
Lakini kama haitoshi adha ya maji imerudi ambapo sasa unaweza kukaa mwezi mieizi miwili ama wiki 3 kwa kiwango cha chini maji hayatoki kwenye mabomba watu inabidi wayafuate maji maeneo ya mbali sana tofauti na awamu ilyopita ya Dr. Mohammed Ali Mohamed Shein ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kuondoa kero ya maji visiwa vya Zanzibar.
Lakini kama haitoshi mahospitali dawa hamna inabidi ununua hadi bomba ya sindano baadae urudi kwa daktari akuchome sindano. nadhan haileti picha nzuri sana kwa Mhe, Rais wetu mpendwa hali imekuwa ni tete sana Zanzibar katika maisha ya watu
Nimeona niilete hapa hii kwenu wadau na labda Mhe. anaweza kulijua hili na kujitathmini kwa muda ambao sasa ameingia madarakani
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
Wazanziri wamekuwa wakepewa maneno laini laini lakini sidhani kama hii hali itawapeleka mbele zaidi.
Kwenu wadau katika hili.
Mkate shilingi 250 mnalalamika?
MTANIKUMBUKA !!!Mbona hali hiyo ya kupaa kwa bei za bidhaa muhimu imeanzia huku bara.--- kimsingi ni nchi nzima.
1----Visiwani---Rais Hussein Mwinyi, mzanzibari.
2----Jamhuri ya Muungano----Rais Samia Suluhu, mzanzibari. Wazanzibar mnashida gani katika eneo hili??!!🤣
Kwani hamjasikia yeye na dada yake wamekopa trilioni 1.3? Safari hii lazima mlipe deni hatutakubaliNdivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya Wazanzibari Rais Mwinyi alivyoingia madarakani ilikuwa 1kg ni Tshs 1800 wa bei ya chini sasa ni Tshs 2400/= per kilo
3. Sukari ilikuwa Tshs 2000/- per kg sasa wanauza 2400/-
3. Mafuta ya kupikia nusu lita ilikuwa 1000/- sasa ni Tshs 2000/=
3. Sahani ya chips plain ikiuzwa 1500/- sasa wamelazimika kupandisha hadi 2000, ambapo chips mayai ikiuzwa 2500/- sasa ni Tshs 3000/=
Huu ni mfano wa bidhaa kwa vyakula fulani fulani lakini takriban hali ni hiyo hiyo kwa vyakula vilivyobakia kama maharage, kunde nk.
Lakini kama haitoshi adha ya maji imerudi ambapo sasa unaweza kukaa mwezi mieizi miwili ama wiki 3 kwa kiwango cha chini maji hayatoki kwenye mabomba watu inabidi wayafuate maji maeneo ya mbali sana tofauti na awamu ilyopita ya Dr. Mohammed Ali Mohamed Shein ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kuondoa kero ya maji visiwa vya Zanzibar.
Lakini kama haitoshi mahospitali dawa hamna inabidi ununua hadi bomba ya sindano baadae urudi kwa daktari akuchome sindano. nadhan haileti picha nzuri sana kwa Mhe, Rais wetu mpendwa hali imekuwa ni tete sana Zanzibar katika maisha ya watu
Nimeona niilete hapa hii kwenu wadau na labda Mhe. anaweza kulijua hili na kujitathmini kwa muda ambao sasa ameingia madarakani
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
Wazanziri wamekuwa wakepewa maneno laini laini lakini sidhani kama hii hali itawapeleka mbele zaidi.
Kwenu wadau katika hili.
Zanzibar mafuta ya vyombi vya Moto hayajapanda.. sijaona kama umelalamika hapaNdivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya Wazanzibari Rais Mwinyi alivyoingia madarakani ilikuwa 1kg ni Tshs 1800 wa bei ya chini sasa ni Tshs 2400/= per kilo
3. Sukari ilikuwa Tshs 2000/- per kg sasa wanauza 2400/-
3. Mafuta ya kupikia nusu lita ilikuwa 1000/- sasa ni Tshs 2000/=
3. Sahani ya chips plain ikiuzwa 1500/- sasa wamelazimika kupandisha hadi 2000, ambapo chips mayai ikiuzwa 2500/- sasa ni Tshs 3000/=
Huu ni mfano wa bidhaa kwa vyakula fulani fulani lakini takriban hali ni hiyo hiyo kwa vyakula vilivyobakia kama maharage, kunde nk.
Lakini kama haitoshi adha ya maji imerudi ambapo sasa unaweza kukaa mwezi mieizi miwili ama wiki 3 kwa kiwango cha chini maji hayatoki kwenye mabomba watu inabidi wayafuate maji maeneo ya mbali sana tofauti na awamu ilyopita ya Dr. Mohammed Ali Mohamed Shein ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kuondoa kero ya maji visiwa vya Zanzibar.
Lakini kama haitoshi mahospitali dawa hamna inabidi ununua hadi bomba ya sindano baadae urudi kwa daktari akuchome sindano. nadhan haileti picha nzuri sana kwa Mhe, Rais wetu mpendwa hali imekuwa ni tete sana Zanzibar katika maisha ya watu
Nimeona niilete hapa hii kwenu wadau na labda Mhe. anaweza kulijua hili na kujitathmini kwa muda ambao sasa ameingia madarakani
Wazanzibar walikuwa na matumaini sana baada ya kuunganisha tofauti zilizokuwepo na kumpa mioyo yao Dr. Mwinyi lakini sasa hali imeanza kuwa tete kutokana na maisha ya watu.
Wazanziri wamekuwa wakepewa maneno laini laini lakini sidhani kama hii hali itawapeleka mbele zaidi.
Kwenu wadau katika hili.
Wamezoea kubebwa kwa mbeleko,wasubiri Samia awabebe, maana wenzetu Wana Marais wawili.mwandish wa habar hii ni mgen sana kwa maisha ya zanzibar kwa miaka yote chakula zanzibar ni ghali sana aswa kwa mchele viaz unga uwez kuona ulojo ukiwa bei juu vyaula vyote ambavyo vinaletwa kutoka morogoro mbeya shinyanga unategemea bei iwe chini wakat dar mchele nzur ni 2000 nk
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe nashangaa sana,ilibidi sasa hivi wawe wanavimba tu.Mbona hali hiyo ya kupaa kwa bei za bidhaa muhimu imeanzia huku bara.--- kimsingi ni nchi nzima.
1----Visiwani---Rais Hussein Mwinyi, mzanzibari.
2----Jamhuri ya Muungano----Rais Samia Suluhu, mzanzibari. Wazanzibar mnashida gani katika eneo hili??!![emoji1787]
Unganeni sasa, Kwani tumewakataza?.Kero za muungano wa Nyerere hizi. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hivi mnalima vanilla tu ombeni sana muungano usife tutaeaizia nyama kilo moja 20,000 na hamna ujanja mkileta fyoko hatuwauzii tunapeleka comoro.
Halafu tunapunguza bei ya kitimoto [emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani Ni mkate mshipa ? Ni kajimkate . Mtu wa kawaida sana anaweza kula boflo Saba.Mkate shilingi 250 mnalalamika?
Duh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]