Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

machogo hamjawahi kufika Zanzibar ,mnafananisha mkate na Boflo.
hio boflo ishikie hivyohivyo teshti yake iko kivyingine kabisha unawezha kuimalizha bila ya shai. aishee
Ilinganisheni Zhanzhibar kama na sheemu ambayo haujawahi kufika kama vile peponi.
Tanganyika naifananisha na Motoni ,huo mfano tu.
 
Tuliza kende wewe,kuna Nchi unaijua hauna mfumuko wa bei kwa Sasa hapa Duniani? Tena sisi Tzn tuna nafuu Sana.

Tena hapo bado vyakula vitapanda zaidi hakuna mvua huku Bara







 
Tunazo taarifa Dr. Mwinyi ameshakusanya hela za kutosha tangia aingie madarakani lakini helza hizo hajatumia ata cent kwa maendeleo ya Zanzibar., tunaungana na wale wasemao Mwinyi amenda kujitajirisha yeye binafsi na aila zake ukoo wa panya., Mwinyi sio mzanzibari ni mzigo tu umeletwa kuwatawala wazanziri, kwao ni mkuranga

Dr. Mwinyi hakuwahi kumuenzi Maalim Seif ata mara moja, Maalim Seif alikuwa na sera ya kusamehe kodi za bidhaa za vyakula pale bandarini ili wananchi kupata nafuu ya bei za chakula zanzibar lakini mwenyi hakuwahi lifikiria hilo bado anawakamua Wazanzibari sasa Wazanzibari wameamka., hoja yako ya inflamation duninai Mwinyi kwanza angefanya hili tukaona kama kutakuwa na inflamation yoyote kwa bidhaa za chakula.,

Ni ujinga kuchukua reference ya nchi nyengine kutokana na kupanda au kushuka bei katika nchi yako wakati unalo jambo la kufanya kuwapa nafuu watu unao dai ni watu wako kwenye nchi yako., Wazanzibari wanamuangalia kwa macho mawili itafika muda watasema It's over.
 
Kwani Ni mkate mshipa ? Ni kajimkate . Mtu wa kawaida sana anaweza kula boflo Saba.
Mgonjwa akijitahidi anaweza kumaliza vitano.
Mkuu mkate wa boflo ni mkate wa kawaida sana, lakini lazima ufahamu kwa maisha ya wazanzibari huu mkate asilima 90% ya wazanzibari ndio wanaolalia na kuuamkia., kama hukuununua asubuhi basi jioni na usiku utausaka tu.,
Ni tofauti sana unavyoyachukuliwa maisha ya baadhi ya watu ukalinganisha na huko ubongoni
 
Onyesha kazi moja aliyofanya
 
Huku bara moshi mm na familia ya watu 4 kwa mwezi tulikuwa tunatumia 200k kwa ajili ya chakula
Ila sasa tunatumia 250k kwa chakula per month
Maisha yamekuwa hovyo sana ila nashukur bia hazijapanda bei
 
mnasema mwinyi ni mzuri anaendesha nchi vizuri hapo hapo kumbe kuna matatizo kama huku bara ya vitu kupanda
 
Nyie ponapona yenu ni kupigania nchi moja yenye serikali moja inayoitwa Tanzania...........vinginevyo mtabaki kuwa watumwa wa wapenda vyeo wanaowaingiza kingi kwamba unaweza kuwa na nchi ya watu milioni moja na ukubwa ambao unyayo wa tembo unaweza kufunika. Wewe fikiria kisiwa cha New Caledonia wananchi wamekataa kukubali kura ya kujitenga na ufaransa, unajua ni kwa nini? basi endeleeni kujitia ujuaji.........
 
tatizo lingine wazanzibar wanapenda sana kupandisha bei ya vyakula kwa kujiona wao ndio wanajua kupika au wanajua kutengeneza mfano tunawaona maeneo ya ilala ataanza na kutengeneza chapati bei 300 akisha zoeleka na wateja wengi anapandisha 500 unabaki kushangaa ukienda bungoni na buguruni wakina mama wanachoma chapati bei hiyo hiyo 300 na wateja kibao na miaka yote wapo .mzanzibari atafungua urojo au chakula biriani bei kawaida biriani 3500 lakini akiisha ona wateja wengi bei inapata 7000. nenda coco beach mishikaki ilikuwa mikubwa na bei nzuri leo mishikaki midogo sana na bei unabbikiwa hawa sijui wakoje siwaelewagi binadamu hawa
 
Kwa hiyo Wabara tukija huko tutapata boflo name badala ya moja tu ambayo tumezoea huku? Hadi Raha!
 
Acha masihara wewe sisi bado tunanunua chipsi 1500,mkate nanunua 200 na sukari pale kwenrekwe ni 2000kg.

Mchele kuna kila bei 2000,2400 n.k kila bei utakayo.

Mimi nadhani wewe ni mtu wa fitina tu ,kwa sababu hii mifumuko mingi uliyotaja ya kughushi tu
 
Laza tofauti hata jina Zanzibar tofauti na Tanganyika, ukitamka Zanzibar unapata faraja moyo unaenda mapigo ya kawaida.
Litaje Tanganyika wallai moyo unaanza kwenda mbio.
 
Huyo unayemsema na team yake wala hawana habari kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…