Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio rahisi kwa watoto wa kileo ila wazazi tuna nguvu kubwa ya kuweza kuimpact mwelekeo na ufahamu wa mtoto ila tumekuwa bize sana na kazi hio tumeachia TV ya sebureni.
Ndio maana siku hizi unaweza mfungia mtoto ndani lakini akajua uhuni wote wa kileo, na ukabaki unashangaa. Ni televisheni ndio imefanya kazi.
Sasa unakuta dogo kuanzia asubuhi hadi jioni ni muziki, jioni anaagalia icu ya umbea alafu usiku tamthilia za mapenzi.