Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Nadhani ilitakiwa iwe sehemu ya majukumu ya Parole ya akina MremaAtakuwa amesimuliwa hali ya kitaa. Kaambiwa juu ya unga, kaambiwa juu ya ajira, kaambiwa juu ya upatikanaji wa pesa kaona achague fungu jema kwake.
Well said MpwaMagereza wampe hata kibarua kwenye karakana zao za mambo ya ufundi, au asimamie hata bustani zao.
Afundishwe hata udereva trekta akafanye kazi kwenye mashaba ya miradi ya serikali ya kilimo na utafiti.
Halafu ukute kesi haina ukweliMaskini kuna wakati linakujia dukuduku tu "nimekaa miaka yote umebaki mmoja ndio wananitoa waniache mie".
Matokeo ya serikali yako hio, unam-release Leo bila kumuandaa then unasimama jukwaani na kujitamba! Kazi ipoKisaikolojia anaonekana hayupo sawa
Matokeo ya serikali yako hio, unam-release Leo bila kumuandaa then unasimama jukwaani na kujitamba! Kazi ipo
HahahahaUlitaka Rais asisamehe?
Mimi nilijua hili wapinzani hamjapinga!