Mfungwa aliyepatiwa msamaha wa Rais agoma kutoka jela

Mfungwa aliyepatiwa msamaha wa Rais agoma kutoka jela

Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.

Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNewsView attachment 1287707View attachment 1287708

Huku kwenye magereza tutoe elimu, kuwafundisha watu kazi, professional otherwise watarudi jela.

It cost a lot of money to keep somebody in prison for 30 years . It is better to give them skills, to rehabilitate them, than to keep them inside.
 
Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.

Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.

Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNews
IMG-20191210-WA0082.jpeg
IMG-20191210-WA0083.jpeg
 
Magereza Hawajawandaa kwa maisha yahuku uraiani pia sijui kama Tz. Kuna system ya kuwa na parol officer ambae atahusika kufuatillia maisha ya mfungwa akiwa uraiani pindi atakapo gerezani. Serikali iangalie sana hii issue
 
Wale watu wa social works ambao hamna ajira jiungeni muanzishe NGO ya kusaidia watu waliotoka jela kuwawezesha rehabilitation ya maisha mapya huku mtaani baada ya kutoka jela.
Mshughulike na wale walio kosa makazi, shughuli za kufanya, au walio tengwa na jamii sababu ya kwenda jela au kutenda makosa yaliyo wapeleka jela.
Mtapata ruzuku(grant) kutoka serikalini na wafahili toka nje, ni pesa ndefu na ajira ya kujiajiri ya kudumu.
Hii hamtakuwa na misukosuko na wanasiasa kama zile NGO za watetezi wa haki za binadamu na kisheria.
 
Wale watu wa social works ambao hamna ajira jiungeni muanzishe NGO ya kusaidia watu waliotoka jela kuwawezesha rehabilitation ya maisha mapya huku mtaani baada ya kutoka jela.
Mshughulike na wale walio kosa makazi, shughuli za kufanya, au walio tengwa na jamii sababu ya kwenda jela au kutenda makosa yaliyo wapeleka jela.
Mtapata ruzuku(grant) kutoka serikalini na wafahili toka nje, ni pesa ndefu na ajira ya kudumu juu.
Hii hamtakuwa namisuko suko na wanasiasa kama zile NGO za watetezi wa haki za binadamu na kisheria.
Binge LA idea, kuna NGO moja INA hio program, sikumbuki NGO IPI ni fursa nzuri sana.
 
Huyo kuna mawili akili imesharuka tayar au kapata bwana hvyo akirudi uraiani hatopata huduma iliyobora..

Wawe makini sana naye wakimlazimisha kutoka jela akirudi uraian lazma atafanya kosa lingne kubwa mno ilo aweze kupata kifungo kikubwa anaweza hata kuua.
 
Back
Top Bottom