Wanahesabu masaa usiku na mchana2020-2000=20 Hivi kumbe ni kweli magereza huwa siku hazihesabiwi kama huku uraian? manake hapo inaonekana alibakiza mwaka mmja kumaliza kifungo chake cha miaka 30 kwa kosa la ubakaji.
DuhUlitaka Rais asisamehe?
Mimi nilijua hili wapinzani hamjapinga!
Duh, inaumiza sanaNajaribu kutafakari huyu mtanzania mwenzangu ambaye tayari amekubali kukata tamaa ya maisha na hana future yoyote, amekubali maisha yake yawe hivyo
Unapohukumiwa kifungo chochote kile na mahakama magereza huondoa theluthi moja ya kifungo chako ulichohukumiwa.2020-2000=20 Hivi kumbe ni kweli magereza huwa siku hazihesabiwi kama huku uraian? manake hapo inaonekana alibakiza mwaka mmja kumaliza kifungo chake cha miaka 30 kwa kosa la ubakaji.
2020-2000=20 Hivi kumbe ni kweli magereza huwa siku hazihesabiwi kama huku uraian? manake hapo inaonekana alibakiza mwaka mmja kumaliza kifungo chake cha miaka 30 kwa kosa la ubakaji.