NI DALILI KWAMBA MAGEREZA YAMESHINDWA KUTEKELEZA KAZI ZAKE. KUNA WEAKNESS MAHALI.
Very touching.Umeandika kama muhusika..Na bado unaskia kuna watu wanakesi mpaka za kuua kijiji na wanaachiwa............kwakweli waniache nimalizie hukumu yangu ili nao wahukumiwe vizuri na M/MUNGU.
Huduma hiyo mtaani ipo sana aje tu ataipataHuyo kuna mawili akili imesharuka tayar au kapata bwana hvyo akirudi uraiani hatopata huduma iliyobora..
Wawe makini sana naye wakimlazimisha kutoka jela akirudi uraian lazma atafanya kosa lingne kubwa mno ilo aweze kupata kifungo kikubwa anaweza hata kuua.
Ni hatari sana kumuachia mtu aliyekaa magereza Miaka 20..Bila utaratibu mzuri wa kumuandaa kuanza maisha mapya uraiani..najua kuna semina na ushauri mdogo wanapewaga but bado autoshelezi, kukurupuka ndo shidda kubwa ya Serikali yetu..Awa wangetakiwa wawe under special program 1 Year before..Ata Kama sio kutegemea msamaha wa Mh Raisi...tayari walishabakiza miaka michache.. I wish nipate walau dakika 10 kuzungumza na uyu ndugu..Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNewsView attachment 1287707View attachment 1287708
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
wanakula bure thus why anang'ang'ania gereza
Soma vzr taarifa kajijeruhi mwenyewe kichwani na jiweMbona kama anavuja damu!? Yaani kukataa kutoka gerezani wanampiga!? Shenzi.
Kuna mwangu mmoja alifungwa kwa mchezaji
Alipokuwa jela kila mwezi alikuwa anawatumia ndg zake Hela
Ova
Yuko sahihi kwani hawakuandaliwa kisaikolojia na kuwezeshwa, wametupwa barabarani! Kwanza alitakiwa ndugu wajulishwe ili waweze kuwapokea na wakuu wa wilaya wajue walipo.Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNewsView attachment 1287707View attachment 1287708
Magereza wampe hata kibarua kwenye karakana zao za mambo ya ufundi, au asimamie bustani zao.
Afundishwe udereva trekta akafanye kazi kwenye mashamba ya miradi ya serikali ya kilimo na utafiti.
Mtu akifungwa anapunguziwa robo ya kifungo uswahilini mnaita wanahesabu usiku na mchanaNamtetea:
Rais alisema wanaohusika na msamaha ni wale waliobakiza mwaka mmoja kumaliza vifungo vyao, huyo anatakiwa kutoka 2030