Mambo ni mengi mda mchache!!Kweli muda sio rafiki jana tuu ishakuwa hapo juzi.....
Kwa huku ughaibuni niliko jana yenu ishakuwa juzi..Kweli muda sio rafiki jana tuu ishakuwa hapo juzi.....
Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Meradi ambaye alifungwa kwa kesi ya kubaka alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Juni 20, 2000 na alitakiwa kumaliza kifungo Juni 20, mwakani.
Kwa sasa mfungwa huyo amepelekwa kwenye zahanati ya gerezani kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
#AzamUTV #AzamTVTZ #AzamTWO #AzamNewsView attachment 1287742View attachment 1287743
Haha kila kitu wao nikupinga tuUlitaka Rais asisamehe?
Mimi nilijua hili wapinzani hamjapinga!
Hivi Parole ya Mrema inafanyaga kazi gani ?, au wanalipwa bure tu !!?Nadhani ilitakiwa iwe sehemu ya majukumu ya Parole ya akina Mrema
Embu nisaidie bwana mshana,wamesema alipigwa miaka 30,Alianza kutumikia mwaka 2000 na kifungo kilikuwa kiishe 2020 au mwakani,kwa kufungwa miaka 30 manake Alitakiwa atoke 2030 sio 2020
Gerezani wanahesabu Siku 1 ni Masaa 16Namtetea:
Rais alisema wanaohusika na msamaha ni wale waliobakiza mwaka mmoja kumaliza vifungo vyao, huyo anatakiwa kutoka 2030
Atabaka tena huyu.dawa ni kumuongeza mingine 30
[/QUOTENimejisikia vibaya sana. Sana.
Kuna wafungwa wamefungwa mwaka 2000 enzi izo sukari kilo 1 mia 7, sabuni kipande hamsini, nauli daladala mia 2 etc. Leo uyu akitoka akaja mtaani hana jipya, ndugu zake wengi wanefariki, wamehama, wamemsahau kwa kifupi yupo alone.
Nashauri magereza na mamlaka usika wawe wanawasaidia wafungwa ambao wamebakiza mwaka mmoja au miezi sita kwa kuwapa training za ujasiriamali. Pia kuwa update thamani ya hela. Maana mtu alienda jela enzi izo ukiwa na elfu 10 ni pesa nyingi sana wakati sahivi ukiwa na elfu 10 ni sukari, mchele, maharage, mkaa na mafuta, imeisha.
Uko magereza wawe wameenda kama kunadirishwa sio kukomolewa.
Good points, wasipopata ajira, uwezo wa kupata pesa kwa njia halali wanaweza kuishia kufanya uhalifu tena. Tunalipia kwa kodi zetu watu kukaa miaka 30.
Sheria zetu (criminal justice system), vifungo vyetu pia tuviangalie.
Nimejisikia vibaya sana. Sana.
Kuna wafungwa wamefungwa mwaka 2000 enzi izo sukari kilo 1 mia 7, sabuni kipande hamsini, nauli daladala mia 2 etc. Leo uyu akitoka akaja mtaani hana jipya, ndugu zake wengi wanefariki, wamehama, wamemsahau kwa kifupi yupo alone.
Nashauri magereza na mamlaka usika wawe wanawasaidia wafungwa ambao wamebakiza mwaka mmoja au miezi sita kwa kuwapa training za ujasiriamali. Pia kuwa update thamani ya hela. Maana mtu alienda jela enzi izo ukiwa na elfu 10 ni pesa nyingi sana wakati sahivi ukiwa na elfu 10 ni sukari, mchele, maharage, mkaa na mafuta, imeisha.
Uko magereza wawe wameenda kama kunadirishwa sio kukomolewa.
inasamehewa ⅓ ya kifungo.
maana yake ni 30÷3= 10
miezi 24= atafungwa miezi 16
Embu nisaidie bwana mshana,wamesema alipigwa miaka 30,Alianza kutumikia mwaka 2000 na kifungo kilikuwa kiishe 2020 au mwakani,kwa kufungwa miaka 30 manake Alitakiwa atoke 2030 sio 2020
Hivi Parole ya Mrema inafanyaga kazi gani ?, au wanalipwa bure tu !!?
Miaka 29 aliyokaa huko si pameshakua Kama nyumbani mkuu kwake hakna Cha ajab asichojua,doso alishalizoea mtaani anakuja kuanza moja na hajui aanzie wapi,jenerally amekaa gerezani miaka sawa na umri wangu.duh aisee,apimwe akili bwana hata kama mtaani pagumu ila jela sio bwana
Ahaa kumbeeeKuna kitu inaitwa ''REMMISSION''..yaani mwaka unatumikia miezi 8
twende kazi===8*30==240months
240mnths/12==20.yrs
kwa hyo alitakiwa atumikie miaka 20 tu....
kama hajafanya kosa jingine akiwa gerezani lkn