Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Huyu kijana kakutwa na vielelezo vyote vinavyoweza kumtia mtu hatiani. Kakutwa na mabomu, na pia alikuwa hana pasi ya kusafiria na yeye mwenyewe alishindwa kutoa maelezo kuwa kaenda kufanya nini kule?
Kwa maelezo ya polisi wa Kenya
Angepata wakili pengine tungekuwa na maelezo mengine kabisa
 
The Boss
 
Acha kutuita wapumbavu ww
 
Nasikitika kukwambia kwamba aliyekuwa mwanafunzi mwenzie wa darasa moja, kijana wangu wa karibu sana alinipa habari zake hadi hapo alipokosekana shule na baadae kupata habari hiyo ya kustusha na kusikitisha Kwa walimu na wanafunzi wenzie, kuna sehem nimeandika baada ya hapo sikufuatilia tena habari zake umeelewa nini mkuu mwenye akili timamu? hizo zingine kama unazijua zilete hatushindani hapa mkuu mwenye akili timamu tutakusoma na tutakuelewa kwamba na wewe umechangia kama tulivyochangia.
 
Circumstantial evidence haiwezi kumtia mtu hatiani bali huwa wanaangalia na aina nyingine za ushahidi kama vile direct evidence
General rule states that circumstencial evidence must be corraborated

Hamis Shedafa vs R
"Among other things when there exist circumstencial evidence must be corraborated"

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya.

Wazazi wake walijua yupo shule.
What if alikuwa amemfuata demu wake !?? Gaidi hawezi kufanya tukio kubwa kama lile then abaki ktk tukio kizembe
 
Jamaa alitoroka shulen kwao akamfata Demu wake kwenye hicho chuo likapigwa tukio na yeye akashikwa kwnye eneo la tukio wakamuunganisha kwenye hiyo kes hakua gaid chalii hajui hata kupakia risas kwenye magazine
Hata mimi naamini hivi
 
Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
Duhhh !!!!!
 
Mtanganyika tena wa hapo matopeni aje huku kutuulia wanafunzi Tena zaidi ya Mia moja halafu uandike madudu kama haya?
Hata nidhamu huna nyie vichaa vichwa vya wendawazimu.
Kwanza ntazania yeyote anayeingia Kenya achunguzwe Kwanza na aombe na kibali kabisa baada ya uchunguzi sio chini ya mwezi mmoja kwakua mnatutumia magaidi kutusumbua kisa dini ya mwaarabu.
Nonesense!
 
Ulikunywa nini kabla ya kulala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…