umenikumbusha movie ya 24 legacy..
Afu leo nmeota nmeenda kutalii na wenzangu wengi mara mujahid wakavamia na mabom ya kwenye mabegi(walikuwa wengi wamevaa kanzu)...mimi kwa akili nyingi (pamoja na wasaidizi wawili, kiume na wa kike) nikafanikiwa kutorosha kundi kubwa la watu...wale jihadist wakatumark sisi watatu wakasema muislam yoyote akiona sura zetu apitishe panga,yule msaidizi wangu wa kiume alikuwa amezubaa tunatembea akaja jamaa amevaa casual kwa nyuma kama anamuulizia kitu,ile kugeuka tu jamaa alikuwa na panga kali akaondoka na kichwa.
Nikawa helpless nikaona hawa jamaa wameshinda ila hawakuwa na bunduki walikuwa na mapanga na mabom tu.
Halafu kiongozi wao ndo yule dogo wa 24legacy..kundi langu naloongoza ni la waoga nikiwaambia tumarch kupigana wanaogopa na alipokufa jamaa all hope was lost.
Kuja kuamka nakuta simu yangu pembeni kuiwasha nakuta sikutoka jf jana na ilikuwa imeload kwenye uzi huu(coincidence?)
wataalam wa njozi hiyo imekaaje
Sent using
Jamii Forums mobile app