Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Huyu kijana kakutwa na vielelezo vyote vinavyoweza kumtia mtu hatiani. Kakutwa na mabomu, na pia alikuwa hana pasi ya kusafiria na yeye mwenyewe alishindwa kutoa maelezo kuwa kaenda kufanya nini kule?
Kwa maelezo ya polisi wa Kenya
Angepata wakili pengine tungekuwa na maelezo mengine kabisa
 
1. Jamaa alikamatwa akiwa amejificha darini siku ya tukio. Wakati wenzake wanakimbilia kwa polisi waokolewe, yeye kajificha dhidi ya polisi.

2. Kutoa maelezo ya nini kilimleta pale alishindwa. Mnaosema alimfata demu kwani nchini Kenya ni kosa kudate na mwanachuo? Kama alimfata demu wake si angesema. Kwa hiyo aliona aibu ikabidi abebe msala wa ugaidi kuliko mapenzi.

3. Bihawana alikokuwa anasoma alikuwa na matatizo ya kinidhamu hasa msimamo wake mkali wa kiimani. Huyo swala tano sio wa kufuata demu Kenya.

4. Mtu wa imani na mwenye hofu ya Mungu anatoroka shule na kwenda nje ya nchi, kisha anajificha dhidi ya polisi waokoaji. Kwani polisi wanamtia najisi?

5. Kwa nini hakuwa na maelezo hata kama ni makosa yawe makosa madogo kuliko kubwa. Sijui tudhanie alikuwa mwizi akaogopa kesi ya wizi akaona bora ya ugaidi.

6. Kitu gani kilimpa ulinzi mpaka asiwaogope magaidi. Kitu gani kilimtia doa mpaka awaogope polisi.
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
The Boss
 
Ngoja aende Wanakofundishwa kwamba atapewa MABIKIRA 9 akale raha za Ahera. Dogo alitoroka shule kisa tu Mafundisho ya watu wachache Wapumbavu wanaoharibu Vijana wetu.

Tukemee na Tutoe taarifa kwa Vyombo vya Usalama pindi tunapoona Mawakala wa Vikundi vya Kigaidi wakiwashawishi Vijana kwenda kuungana na Vikundi hivi.

Kule Cabo Delgado Watanzania pia wapo na Wengine huenda ni Member hapa JF, hebu waoneeeni huruma Hawa Vijana wadogo mnawarubuni kutenda Unyama. Hakika mnawafutia ndoto zao za Maisha.
Acha kutuita wapumbavu ww
 
Ona sasa... Kumbe hata background ya muhusika hamujui mmekalia kubuni story tu.

Mna akili timamu???
Azarel
Citizen B
naiman64

Mara mseme alikua form two, mara form five, mara alienda Garissa kwa demu wake, mara alikua na pesa nyingi.

Mna akili timamu?
Nasikitika kukwambia kwamba aliyekuwa mwanafunzi mwenzie wa darasa moja, kijana wangu wa karibu sana alinipa habari zake hadi hapo alipokosekana shule na baadae kupata habari hiyo ya kustusha na kusikitisha Kwa walimu na wanafunzi wenzie, kuna sehem nimeandika baada ya hapo sikufuatilia tena habari zake umeelewa nini mkuu mwenye akili timamu? hizo zingine kama unazijua zilete hatushindani hapa mkuu mwenye akili timamu tutakusoma na tutakuelewa kwamba na wewe umechangia kama tulivyochangia.
 
Circumstantial evidence haiwezi kumtia mtu hatiani bali huwa wanaangalia na aina nyingine za ushahidi kama vile direct evidence
General rule states that circumstencial evidence must be corraborated

Hamis Shedafa vs R
"Among other things when there exist circumstencial evidence must be corraborated"

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya.

Wazazi wake walijua yupo shule.
What if alikuwa amemfuata demu wake !?? Gaidi hawezi kufanya tukio kubwa kama lile then abaki ktk tukio kizembe
 
Jamaa alitoroka shulen kwao akamfata Demu wake kwenye hicho chuo likapigwa tukio na yeye akashikwa kwnye eneo la tukio wakamuunganisha kwenye hiyo kes hakua gaid chalii hajui hata kupakia risas kwenye magazine
Hata mimi naamini hivi
 
Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
Duhhh !!!!!
 
Mtanganyika tena wa hapo matopeni aje huku kutuulia wanafunzi Tena zaidi ya Mia moja halafu uandike madudu kama haya?
Hata nidhamu huna nyie vichaa vichwa vya wendawazimu.
Kwanza ntazania yeyote anayeingia Kenya achunguzwe Kwanza na aombe na kibali kabisa baada ya uchunguzi sio chini ya mwezi mmoja kwakua mnatutumia magaidi kutusumbua kisa dini ya mwaarabu.
Nonesense!
 
Ulikunywa nini kabla ya kulala?
umenikumbusha movie ya 24 legacy..
Afu leo nmeota nmeenda kutalii na wenzangu wengi mara mujahid wakavamia na mabom ya kwenye mabegi(walikuwa wengi wamevaa kanzu)...mimi kwa akili nyingi (pamoja na wasaidizi wawili, kiume na wa kike) nikafanikiwa kutorosha kundi kubwa la watu...wale jihadist wakatumark sisi watatu wakasema muislam yoyote akiona sura zetu apitishe panga,yule msaidizi wangu wa kiume alikuwa amezubaa tunatembea akaja jamaa amevaa casual kwa nyuma kama anamuulizia kitu,ile kugeuka tu jamaa alikuwa na panga kali akaondoka na kichwa.
Nikawa helpless nikaona hawa jamaa wameshinda ila hawakuwa na bunduki walikuwa na mapanga na mabom tu.
Halafu kiongozi wao ndo yule dogo wa 24legacy..kundi langu naloongoza ni la waoga nikiwaambia tumarch kupigana wanaogopa na alipokufa jamaa all hope was lost.
Kuja kuamka nakuta simu yangu pembeni kuiwasha nakuta sikutoka jf jana na ilikuwa imeload kwenye uzi huu(coincidence?)
wataalam wa njozi hiyo imekaaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom