Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mtanzania aliyehukumiwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililotokea mwaka 2015 katika chuo kikuu kimoja nchini Kenya na kusababisha watu 148 kufariki , amejiua mwenyewe akiwa gerezani , vyombo vya habari vya Kenya vimeripoti.

Washambuliaji wanne waliuawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kenya katika chuo kikuu cha Garissa ,lakini Rashid Charles Mberesero, na wenzake wawili walikamatwa na mwaka jana walihukumiwa kwa kuhusika katika ugaidi.

Hukumu hiyo ilimpa bwana Mberesero kifungo cha maisha gerezani.

Taarifa zinasema alikuwa na matatizo ya akili wakati akiwa gerezani na alikuwa anamuona mtaalamu wa afya akiwa gerezani.

Gazeti la Daily Nation linasema Mberesero alijinyonga mwenyewe aliwa gerezani kwa kutumia blanketi lake.

Shambulio kubwa kutokea mwaka 2015 liliacha simanzi kubwa .

Al-Shabab ilisema imekuwa katika vita na Kenya tangu askari wa Kenya kuingia Somalia mnamo Oktoka 2011.

Rashid Charles Mberesero ni nani?

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 ziliwaacha wengi na mshangao.

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.
View attachment 1638171
 
Shambulio kubwa kutokea mwaka 2015 liliacha simanzi kubwa.

Rashid Mberesero, aligundulika katika eneo la tukio akiwa sio mwanafunzi wala mfanyakazi wa chuo hicho.

Kulingana na gazeti la The Citizen toleo la tarehe 10 mwezi Aprili 2016, Rashid aliyesoma shule ya upili ya Bihawana mjini Dodoma alidaiwa kutoroka shule baada ya kukatazwa kuvaa kofia kichwani.

Kulingana na mwalimu mkuu wa shule hiyo wakati huo, mwanafunzi huyo alijiunga na shule hiyo mwaka 2015 baada ya kutoka shule ya upili ya Bahi Kagwe.

Chakushangaza ni kwamba licha ya kutoweka katika shule, hakuna aliyefuatilia alikokwenda.

Kwa takriban miezi minne wazazi wa kijana huyo walidhani kwamba mtoto wao yupo shule, suala ambalo halikuwa la kweli.

Zaidi hapa....

Unauliza maswali huku majibu yanajulikana?
Wangekuwa wanafanya kazi Kwa uweledi wangeshambuliwa kibwege vile mara zote zile? Hadi na watu kama hawa ambao wanaogopa hata kurusha bomu wanapanda juu ya Dari kujificha??

Kitu ambacho hata marekani yenyewe na kuwa na uwezo lakini ameshindwa na maswala ya ugaidi

Ugaidi una yunifomu kusema wakuja na sare za jeshi au jezi.

Nakueleza jambo moja siku lisije kuingiza usicho kijua.ukiona mwenzako anakuja kuchukuliwa na polisi alafu wewe ukakurupuka tu kutaka kumtetea bila kujua ni nini ita kucost.

Tokea kukamatwa na mpaka leo imechukua miaka mingapi na huku kutoka.ingekuwa kakamatwa leo kesho kahukumiwa ndio ujiulize
 
Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo

Mapambano mema na kaburi na
Je, Sheria inasemaje? Atarudishwa Upareni na Seriakli ya Kenya?

---
One of the three people who were convicted of planning the Garissa University attack five years ago where 156 people were killed has been found dead.

Rashid Charles Mberesero was found dead in his cell at the Kamiti Maximum Prison where he was serving a life sentence.

“He committed suicide on Friday at 1520hours inside his cell using a blanket that he used to hang himself with from the grills. He was alone but the matter is under investigation. The body has been taken to the City Mortuary awaiting autopsy,” Prisons Spokesman Kennedy Aluda said.

Speaking to Citizen Digital on Sunday, Mr. Aluda noted that the matter will be handled by the embassy since the deceased was a Tanzanian national.

The deceased was among three persons who were convicted over the Garissa University terror attack which occurred in April 2, 2015.

Mberesero, Mohammed Abdi Abdikar and Hassan Edin Hassan were convicted for being members of al Shabaab, committing a terrorist act and conspiracy to commit terrorism.

“Prosecution has proved its case beyond any reasonable doubt,” ruled Trial Magistrate Francis Andayi, adding that the three were in communication with the attackers and knew of the plot.

The magistrate noted that the attack was carried out as an attempt to coerce the government into removing the Kenya Defense Forces (KDF) from Somalia.

According to the court, Mberesero led the attackers to the institution since he never explained the reasons as to why he was on scene when people were being asked to leave.

“He remained in the hostel when everyone had left and could not satisfactorily explain why he was there,” the court noted.

Over 22 witnesses testified in the case among them students and experts.
Kisu kwa kisu.....muuwaji haonewi huruma, he got what he deserved.
 
Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Mkuu mbona Simple tu. Amekutwa eneo la Chuo na yeye si mwanafunzi wala staff member. Toa maelezo umefuata nini. Kama demi sema kama ndugu vivyo hivyo, a sivyo unafungwa tu maana Magaidi hawajulikani sura.
 
Huyu gaidi kutoka Tanzania alikuwa mmoja wa wale washenzi waliopanga na kuvamia garissa university. Waliuwa wanafunzi wengi. Hivi majuzi alipewa kifungo cha maisha. Lakini amepatikana akiwa amejitia kitanzi katika Kamiti prison hapa Kenya.
Wacha aende alale na mabikra wake 72. Pepo mbaya limetuondokea.

400289_cce66455b5916d6de5fe10c1527f3fa4.png

Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
Tayari

Bado naona jamaa anaongea koroboi
 
Mtanzania aliyehukumiwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililotokea mwaka 2015 katika chuo kikuu kimoja nchini Kenya na kusababisha watu 148 kufariki , amejiua mwenyewe akiwa gerezani , vyombo vya habari vya Kenya vimeripoti.

Washambuliaji wanne waliuawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kenya katika chuo kikuu cha Garissa ,lakini Rashid Charles Mberesero, na wenzake wawili walikamatwa na mwaka jana walihukumiwa kwa kuhusika katika ugaidi.

Hukumu hiyo ilimpa bwana Mberesero kifungo cha maisha gerezani.

Taarifa zinasema alikuwa na matatizo ya akili wakati akiwa gerezani na alikuwa anamuona mtaalamu wa afya akiwa gerezani.

Gazeti la Daily Nation linasema Mberesero alijinyonga mwenyewe aliwa gerezani kwa kutumia blanketi lake.

Shambulio kubwa kutokea mwaka 2015 liliacha simanzi kubwa .

Al-Shabab ilisema imekuwa katika vita na Kenya tangu askari wa Kenya kuingia Somalia mnamo Oktoka 2011.

Rashid Charles Mberesero ni nani?

Habari kwamba raia mmoja wa Tanzania ni miongoni mwa washukiwa watatu waliopatikana na hatia ya kupanga na kutekeleza shambulio katika chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya 2015 ziliwaacha wengi na mshangao.

Rashid Charles Mberesero ambaye alikamatwa na watu wengine wanne muda mfupi baada ya mkasa huo wa Garissa uliosababisha vifo vya wanafunzi 148, alipatikana na hatia hiyo wakati mahakama moja nchini Kenya ilipotoa uamuzi wake baada ya takriban miaka minne.

Katika uamuzi huo raia huyo wa Tanzania pamoja na Hassan Edin na Mohammed Abdi jina jingine Mohamned Ali Abikar walipatikana na hatia ya kupanga shambulio hilo chini ya ushirikiano wa wanachama wa kundi la Al-Shabab.
View attachment 1638171

Kumbe mtu alikuwa mgonjwa wa akili
Ila mijitu imeshupaa humu kuongea
 
Unauliza maswali huku majibu yanajulikana?
Wangekuwa wanafanya kazi Kwa uweledi wangeshambuliwa kibwege vile mara zote zile? Hadi na watu kama hawa ambao wanaogopa hata kurusha bomu wanapanda juu ya Dari kujificha??
Inawezekana kweli alikuwa gaidi, au inawezekana alikuwa at the wrong place at the wrong time, maana ushahidi uliotumika kumtia hatiani kwakweli ni mwepesi sana.

Ilishawahi kuwatokea madogo walikuwa wanasoma shule huko mwanza mwanzoni mwa miaka 2000, walitoroka shule kwenda disco, wakati wanarudi kutoka disco usiku, kumbe majambazi yamepiga tukio na wananchi wenye hasira wanayasaki. Wakakutana na madogo hawana hili wala lile wakaanza wafukuza.

Waliwakamata na kuwapiga sana, wawili walikufa hapo hapo, mmoja alifia hospitali wenigne waliumizwa sana. Na baada ya kupona wakapelekwa mahabusu, walikaa sana mpaka kuja kuachiwa ni miezi kibao.
 
Inawezekana kweli alikwu gaidi, au inawezekana alikuwa at the wrong place at the wrong time, maana ushahidi uliotumika kumtia hatiani kwakweli ni mwepesi sana.

Ilishawahi kuwatokea madogo walikuwa wanasoma shule huko mwanza mwanzoni mwa miaka 2000, walitoroka shule kwenda disco, wakati wanarudi kutoka disco usiku, kumbe majambazi yamepiga tukio na wananchi wenye hasira wanayasaki. Wakakutana na madogo hawana hili wala lile wakaanza wafukuza. Waliwakamata na kuwapiga sana, wawili walikufa hapo hapo, mmoja alifia hospitali wenigne waliumizwa sana. Na baada ya kupona wakapelekwa mahabusu, walikaa sana mpaka kuja kuachiwa ni miezi kibao.

Inatokea sana hii
Inawezekana kabisa dogo alijiunga alshabaab
Lakini hakuwa tayari kwenda kufanya mauaji
Au hata alikuwa hajui anapelekwa kwenye tukio..

Ukifuatilia Sana story za recruitment za alshabaab...wengi sana wanashiriki Kwa hofu
Tu ya kuonekana wasaliti wasije kuuwawa
Wengi wanakuwa hata hawajui plan yote ikoje
Ni kama mateka hivi
 
Inawezekana kweli alikuwa gaidi, au inawezekana alikuwa at the wrong place at the wrong time, maana ushahidi uliotumika kumtia hatiani kwakweli ni mwepesi sana.

Ilishawahi kuwatokea madogo walikuwa wanasoma shule huko mwanza mwanzoni mwa miaka 2000, walitoroka shule kwenda disco, wakati wanarudi kutoka disco usiku, kumbe majambazi yamepiga tukio na wananchi wenye hasira wanayasaki. Wakakutana na madogo hawana hili wala lile wakaanza wafukuza. Waliwakamata na kuwapiga sana, wawili walikufa hapo hapo, mmoja alifia hospitali wenigne waliumizwa sana. Na baada ya kupona wakapelekwa mahabusu, walikaa sana mpaka kuja kuachiwa ni miezi kibao.

Mpaka sasa the boss hana ruka ruka tu.nimemuuliza ukinikuta kwako na mimi ni familia yake.
 
Huyu gaidi kutoka Tanzania alikuwa mmoja wa wale washenzi waliopanga na kuvamia garissa university. Waliuwa wanafunzi wengi. Hivi majuzi alipewa kifungo cha maisha. Lakini amepatikana akiwa amejitia kitanzi katika Kamiti prison hapa Kenya.
Wacha aende alale na mabikra wake 72. Pepo mbaya limetuondokea.

View attachment 1638199

Ameenda virahisi sana hadi naumwa! Wangemfanya mwanamke wamgegede hadi mwisho wa kifungu chake! Kudadeki zake!
 
Inatokea sana hii
Inawezekana kabisa dogo alijiunga alshabaab
Lakini hakuwa tayari kwenda kufanya mauaji
Au hata alikuwa hajui anapelekwa kwenye tukio..

Ukifuatilia Sana story za recruitment za alshabaab...wengi sana wanashiriki Kwa hofu
Tu ya kuonekana wasaliti wasije kuuwawa
Wengi wanakuwa hata hawajui plan yote ikoje
Ni kama mateka hivi
Yes ukisoma story zao wengi wanadanganywa wanajikuta tayari washaingia kwenye mtego na kuchomoka hawawezi. Wengi ni victims. Hata Boko Haram wengi wanaojitoa mhanga wanakuwa wamelazimishwa. Nilisoma story ya binti flani aliyefungwa mabomu lakini bahati nzuri hayakulipuka na wategua mabomu waliweza yategua. Alikuwa kalazimishwa kujitoa mhanga baada ya kutekwa.

Kuna mengi nyuma ya story ya huyu kijana ambayo haiko wazi.
 
Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake
Alikuwa form5 mkuu, siyo form2
 
If he was innocent asingeshindwa kujieleza,maelezo ya ukweli ni rahisi sana,kama alifuata demu angesema na kumuonyesha,.shule aliagaje walimu wangemtetea,alisafirije bila pasi angeelezea,alipanda kwenye dari kivipi angeelezea!
... kwamba siku hizi shule za sekondari zinatoa ruhusa kwa wanafunzi wa kiume kufuta mademu zao vyuoni?
 
Yes ukisoma story zao wengi wanadanganywa wanajikuta tayari washaingia kwenye mtego na kuchomoka hawawezi. Wengi ni victims. Hata Boko Haram wengi wanaojitoa mhanga wanakuwa wamelazimishwa. Nilisoma story ya binti flani aliyefungwa mabomu lakini bahati nzuri hayakulipuka na wategua mabomu waliweza yategua. Alikuwa kalazimishwa kujitoa mhanga baada ya kutekwa.

Kuna mengi nyuma ya story ya huyu kijana ambayo haiko wazi.

Story fupi tu
Nini maana ya ugaidi
Ugaidi ni upinzani kwa kutumia ukatili ili kufikisha jambo ambalo unaona tu walikuumiza,umeonewa,chuki n.k na hii ujificha sana kwa kutumia ukabila,koo,dini,siasa,nchi kwa nchi,utaifa,uchumi n.k

Adolf wa ujerumani alitumia kuhua wayahudi kwa kutofautisha ukabila na matabaka kuwa wajerumani wanaonewa na wayahudi kuanzia kazi,tawala na maisha kiujumla.

Rwanda,burundi,kongo sio mgeni kwa yale yote hapa yalifanywa ni ukabila na kuzaa matunda ya vikundi kuwa wahaasi n.k

Somalia ,sudani ni nchi iliyokosa imara ya utawala na kuanza kutenganisha watu kumesababishwa watu kutumia kivuli cha dini,koo,na wapinga serekali.

Kwa kuwa watu wabaya utumia vivuli ambavyo vina sababu ili kufanyia maovu yao kwa kulipiza kisasi kwa kuaminisha.
Waislamu wengi ndio wahaanga wa haya mambo kwa kuwa neno jihad na story yake linatumiwa kama ni vita inayopigana kwa wakati wowote.
 
Back
Top Bottom