Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

Pale Tabora mjini hoteli ya maana ni moja tu, Hoteli ya Mayor . Siku nyingine ukipita Tabora nenda ukale mayor karibia na maktaba ya Taifa Tabora.
Nilipita pale nikaambiwa wamefunga mpaka mwezi wa ramadhani uishe
 
Back
Top Bottom