HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Wasamehe Swaumu
Imekuwa ni karibu Tanzania nzima kuna hili tatizo la watu kungangania chenchiHili ni tatizo mkuu, kama Huo mgahawa soda ya chupa mfano fanta wanaouza 1000sh mara nyingi wahudumu hiyo chenji ya shilingi 300 huwa hawarudishi na ukidai inakuwa nongwa...
Duuh aseeee!Hiyohiyo ya njia panda ni sehemu ya hovyo lakini bado wahudumu Wana huduma za hovyo
Ilikuwa ni usiku, mida ya saa mbiliLabda hukuwaangalia kwa jicho la huba, jilo lenye ishara ya kutaka kuwatongoza
Au pengine wanakushangaa vipi unataka chakula kipindi cha Mwezi Mtukufu?
Ni ubinafsi uliotukuka mtu kuhisi yeye ndie ana matatizo na anahitaji msaada na tip kuliko wengine..Imekuwa ni karibu Tanzania nzima kuna hili tatizo la watu kungangania chenchi
Sijui ni viziwi?, sijui ni dharau?..au ni hizo ushungi wanazovaa ndizo zinazowafanya wasisikie....Mara tatu😜 kuna shida mahali
Ilikuwa ni usiku mida ya kufuturu..Wasamehe Swaumu
😀😀😀Du uitwe maku kweli usimzawadie mtu hata kakonde kamoja katakatifu
Njaa Mwana Malegeza,,Shibe Mwana Malevya,,,Ni Shibe Bado Usisite KuwasemeheIlikuwa ni usiku mida ya kufuturu..
Mhh sasa amekwambia vitafunio kanunuwa nje kwenye Sinia mengine jiongeze watu wa bara usafi kwao ni mtihani,mtu nyumba ya kulala anafuga wanyama humo humo Ngombe ngulue.Unakulaje sehemu chafu kama hiyo?
Huenda aiseeSijui ni viziwi?, sijui ni dharau?..au ni hizo ushungi wanazovaa ndizo zinazowafanya wasisikie....
Nahiyo anayotumia boss Inashida gsniMkuu ni kwa nia njema tu, nunua simu
Mwigulu huyuhuyu mpiga madili?Halafu huwa mgahawa ni wa mwigulu wa nchemba
Tabora si wametalawa waislamu
Wanawake wengi wanapenda kazi zile ambazo bossi ameshahangaika na kutoboa.Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu.
Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya mgahawa ule Kuna vijana wanaouza vitafunwa kama maandazi, chapati na sambusa, nikachukua chapati zangu tatu kwa vijana wale na nikaingia ndani ya mgahawa, nikatafuta meza yangu nikaketi ili nisubiri huduma nyingine kutoka kwa wahudumu, mgahawa huu umesheheni wahudumu wa kike wanaovaa ushungi..
Kitu Cha ajabu niliwaita wahudumu zaidi ya mara tatu lakini wote walikuwa wakiniangalia kama sanamu la posta😁. Muda uleule niliokuwa nimekaa akaja jamaa mwingine nae akaita wahudumu zaidi mara tatu lakini wahudumu hawakutokea hata mmoja.
Shime kama Kuna wamiliki wapo humu nawapeni taarifa kuwa wahudumu wanawaharibia biashara na wanawafukuzia wateja nimeambatanisha na picha za eneo hilo..View attachment 3279002View attachment 3279002