Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

Tafuta hela mkuu. Huenda walikuona tangu stendi ukiwa unashuka kwenye basi huku unatafuna miwa.
sija jua ni ujinga au uzuzu, maana msio jua maana ya biashara huwa mna ropoka.
Sasa hiyo ni huduma na ina tolewa kwa fedha na Sio bure.

so mteja anapo kuja ana tarajia huduma Bora na sio dharau, na kingine kauli 1 ya mtoa huduma ndio kivutio au kikimbizo kwa mteja.

biashara si jina tu, bali hadi huduma zenyewe.
(Kazingue kampuni kubwa Kama huja fukuzwa muda huo huo).
 
Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu.

Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya mgahawa ule Kuna vijana wanaouza vitafunwa kama maandazi, chapati na sambusa, nikachukua chapati zangu tatu kwa vijana wale na nikaingia ndani ya mgahawa, nikatafuta meza yangu nikaketi ili nisubiri huduma nyingine kutoka kwa wahudumu, mgahawa huu umesheheni wahudumu wa kike wanaovaa ushungi..

Kitu Cha ajabu niliwaita wahudumu zaidi ya mara tatu lakini wote walikuwa wakiniangalia kama sanamu la posta😁. Muda uleule niliokuwa nimekaa akaja jamaa mwingine nae akaita wahudumu zaidi mara tatu lakini wahudumu hawakutokea hata mmoja.

Shime kama Kuna wamiliki wapo humu nawapeni taarifa kuwa wahudumu wanawaharibia biashara na wanawafukuzia wateja nimeambatanisha na picha za eneo hilo..View attachment 3279002View attachment 3279002
wewe ni mtejs unaetumia fedha zako wasipokujali wewe ondoka tafuta mghahawa mwingine acha kulialia humu maana ni kama unawatuma moderators waende wakahudumie mghahawani Mkuu!
 
wewe ni mtejs unaetumia fedha zako wasipokujali wewe ondoka tafuta mghahawa mwingine acha kulialia humu maana ni kama unawatuma moderators waende wakahudumie mghahawani Mkuu!
Haya ndio matumizi halali ya mtandao wa jamii forum. Kufichua changamoto tunazokutana nazo kwenye jamii yetu
 
sija jua ni ujinga au uzuzu, maana msio jua maana ya biashara huwa mna ropoka.
Sasa hiyo ni huduma na ina tolewa kwa fedha na Sio bure.

so mteja anapo kuja ana tarajia huduma Bora na sio dharau, na kingine kauli 1 ya mtoa huduma ndio kivutio au kikimbizo kwa mteja.

biashara si jina tu, bali hadi huduma zenyewe.
(Kazingue kampuni kubwa Kama huja fukuzwa muda huo huo).
Achana nae mkuu humu ndani Kuna watu tofauti wengine ni viatu na wengine ni watu.
 
Ndio ni ya hovyo hovyo sana ila nashangaa wahudumu wa pale wanakosa uungwana.
Ndiyo maana biashara nyingi hujifia mapema kwa sababu za kipumbaf pumbaf kama hizo.

Halafu mmiliki anakuwa hafuatilii!

Au kaweka ni kijiwe kwa ajili ya kutakatisha biashara zake zingine haramu?

Kwanini hafuatilii nidhamu ya wafanyakazi?
 
ni kukosa exposure kwa wamiliki wa hotel au maeneo ya uwekezaj kama huo wa huduma. maeneo meng ukitembea hasa mikoan unakuta mtu kawekeza hela ya maana kunenga let say hotel au lodge ila anafel kwenye management. anaweka wahudum kama mama lishe, hawana taaluma hawajui chochote maskin wametoka vijijin kaja kama hapo tabora mjin na anahongwa hongwa vielf 1000na boda anaona kamaliza. wenye maeneo hayo nayo unakuta wana hela ila shule na exposure hamna,ye mrad anapata hesab anaona biashara nzur hajui hata kukakggua au kuichimba biashara yake kujua inataka nini. kuna maeneo kama mfano Boma hotel mtwara, pale unawapigia wanakupa vijana waliova kwenye hotel, room, jikon ilq nashangaa matajir wanafeli wap unaimbua mihibd yako unapiga hela unajenga hotel ila huna exposure
 
Kusema kweli Customer Care kwetu bado sana. Maboss wanajitahidi kubrand ofisi zao ila wahudumu zero.
 
Back
Top Bottom