Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
- Thread starter
- #41
Niliulizia wenyeji wakaniambia wahusika huwa hawafungui kabisa mwezi wa ramadhaniule mgahawa unaitwa Mayor bado upo?,
Niliulizia wenyeji wakaniambia wahusika huwa hawafungui kabisa mwezi wa ramadhaniule mgahawa unaitwa Mayor bado upo?,
Kwanini mkuuMsiwege mnaenda Tabora
Chief hebu jaribu kupita hapo tena huenda wamejirekebishaKwanini mkuu
ule mgahawa naenda sana nikiwa mboka, pole sana,,, longtime sana mji unabadirika na machimbo yanaongezeka,Niliulizia wenyeji wakaniambia wahusika huwa hawafungui kabisa mwezi wa ramadhani
ni kweli lakini sio kama hizi Mkuu,maana hizi hazina impact kwa jamii maana mighahawa ipo mingi kwa hiyo ukiona mahala huduma mbovu tafuta mghahawa mwingine achana na huo wa huduma mbovu!Haya ndio matumizi halali ya mtandao wa jamii forum. Kufichua changamoto tunazokutana nazo kwenye jamii yetu
Kwa hiyo watu watafahamu vipi kuwa pale Kuna huduma mbovuni kweli lakini sio kama hizi Mkuu,maana hizi hazina impact kwa jamii maana mighahawa ipo mingi kwa hiyo ukiona mahala huduma mbovu tafuta mghahawa mwingine achana na huo wa huduma mbovu!
😀😀 Umekurupuka mkuuUnanunua chapati nje,ulitaka ndani wakupe chai tu ya mia 5 kwa kelelw hizo.
Wewe ndio tatizo,nafikiri wangekufukuza
NimeishaondokaChief hebu jaribu kupita hapo tena huenda wamejirekebisha
Nasema umekurupuka kwa sababu hata mazingira ya pale huyafahamu...kawaida ya ule mgahawa huwa unawahudumu wengine wanaouza vitafunwa kwa nje kwa hiyo ukinunua vitafunwa vile ni sawa na mtu alienunua ndani ya mgahawa....Nimekuambia ukweli.
wewe ungekua mmiliki wa hoteli ungekubali wahudumu wako wahudumie alieingia na chakula chake.Utumie sahani ya nani kuweka hizo chapati?
Uuze chai tu ya 500?
Aaah tuwe fair bwana, hapo umewekewa TV meza safi si ungekunywa huko magengeni mzee
OK,sikufahamu hili.Nasema umekurupuka kwa sababu hata mazingira ya pale huyafahamu...kawaida ya ule mgahawa huwa unawahudumu wengine wanaouza vitafunwa kwa nje kwa hiyo ukinunua vitafunwa vile ni sawa na mtu alienunua ndani ya mgahawa....
Halafu huwa mgahawa ni wa mwigulu wa nchembaKatika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu.
Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya mgahawa ule Kuna vijana wanaouza vitafunwa kama maandazi, chapati na sambusa, nikachukua chapati zangu tatu kwa vijana wale na nikaingia ndani ya mgahawa, nikatafuta meza yangu nikaketi ili nisubiri huduma nyingine kutoka kwa wahudumu, mgahawa huu umesheheni wahudumu wa kike wanaovaa ushungi..
Kitu Cha ajabu niliwaita wahudumu zaidi ya mara tatu lakini wote walikuwa wakiniangalia kama sanamu la posta😁. Muda uleule niliokuwa nimekaa akaja jamaa mwingine nae akaita wahudumu zaidi mara tatu lakini wahudumu hawakutokea hata mmoja.
Shime kama Kuna wamiliki wapo humu nawapeni taarifa kuwa wahudumu wanawaharibia biashara na wanawafukuzia wateja nimeambatanisha na picha za eneo hilo..View attachment 3279002View attachment 3279002
Mara ya kwanza uliandika wanawafukunyua wateja sio?Mods mtanisaidia kurekebisha kichwa Cha habari kiwe wanawafukuzieni wateja..
Acha kuwa una comment hovyohovyo kama kitu hukifahamu ..nahisi wewe ni miongoni mwa mwa members ambao hupenda ku crush thread za watu humu..mbaya zaidi wewe ni mwana ccmOK,sikufahamu hili.
Niliandika wanawafukuzieni watejaMara ya kwanza uliandika wanawafukunyua wateja sio?