A
Sungusungu hawalindi hivyo hao hawana mafunzo wameokotwa okotwa tu mitaani sio watu walioingia field na kupata mafunzo na hio kazi sio kazi sio ajira ni sawa na kujitolea tu malipo ya posho kwa mwezi ni laki, laki 20 au laki 50 imezidi sana laki 70, wanafanya km wapo kijijini ambako hata kijijini kwenyewe hawafanyi hivyo na wanalindanaUkiwaza usiku mara nyingi watu wanalala bila nguo sababu ya joto, wao wakipita wana torch kali mno wanamulika ndani. Pia, mapazia yanakuwa wazi kuruhusu hewa / upepo ndani.
Kiukweli wamekuwa kero kero kero sana sana. Mimi naamini ulinzi haupo hivyo hata wakati mmoja, wakipita ni wanapiga makelele mno mara wacheze na mbwa wao, mara wakae ukutani kwako waanze kuongea na simu wengine unakuta wanatongoza hata wanawake wao usiku kwenye simu.
Ni kweli kabisa.Tabata iko mikono salama ya sungu sungu
Mgambo unamletea mambo ya Civic kubabake ndo manini ni rungu tuHao Jamaa hamnazo kabisa, civic sense ndogo Tu hiyo pia imewashinda.
πUkiwauliza wanakwambia eti lazima tuwamulike ndani ili mjue tunalinda hatulali pia tunagonga ukuta mjue tupo.
Hamnazo Tu hao, vitu vidogo Tu ambavyo wala hufundishwi na mtu...Sasa kupigia watu kelele usiku na kuchungulia dirishani si ni unyani huo haha.Mgambo unamletea mambo ya Civic kubabake ndo manini ni rungu tu