Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

Sikuangalia video ila kama ndio huyo anayejifanya kushindwa kuitaja Mamelodi pamoja na Al Ahly. Kama ndio huyo anasema Yanga ita draw hapa then itaenda kufyngwa 2 bila kule South na Simba itaifunga al Ahly 1 kisha kufungwa kule misri sio mganga ni Muigizaji na aliigiza kwenye tamthilia ya "mtaa wa kazamoyo."

Ni comedian tu huyo.
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Sasa wewe kucha kutwa humu kwenye nyuzi za Simba na Yanga unatafuta nini kama sio unafuatilia habari na comment za Simba na Yanga? Kwanini usitulie ufanye shughuli zako uache wanaopoteza muda? Yaani wewe ndio unaongoza kwa kurukwa na akili ila siku zote chizi hajioni ila anaona wenzie ndio machizi.
 
We jamaa watu wanakupuuza ila unaongea ukweli
 
Mbona huyu ni jamaa tu mlevi wa mtaani namjua vizuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Leo kawa mganga
Huyu Jamaa anaishi pale kwenye nyumba mbovu karibu na uwanja unaojengwa wa Kaunda🐸🐸🐸🐸🐸
 
Unajua kabisa kwamba waganga wengi hawajasoma, kuandika na kutamka maneno kwa usahihi kwao ni mtihani, lakini bado unamshangaa huyu.
 
Kama alivyosema huyu jamaa
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi natabiri hivi : Kwa Mkapa Simba 2 Ahly 0. Cairo Ahly 1 Simba 0.

Kwa Mkapa Yanga 1 Mamelod 0
Marudio Mamelod 1 Yanga 1.

Timu zote zinaingia Nusu Fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…