Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Huyo dokta anajielewa sana!....TETESI: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo
Wataalamu wote wakiwa na misimamo ya kusimamia taaluma zao na sio kufanya kazi kwa matakwa ya wanasiasa ambao wengi wao hawaana utaaalamu hata chembe wa maeneo wanayo yaongoza, basi nchi yetu itafika mbali sana.TETESI: Mganga mkuu mfawidhi wa hospitali ya Amana dr Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo
Kwani hao Madaktari miaka yote wanafanyaje kazi zao kwa ufanisi,kwani hawana monitoring?Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Bora akajifanyie mambo yake tu.....Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Tatizo wanaingilia maswala yanayohitaji ufumbuzi wa kitaalamu wanaweka siasa ili waonekane wanafanya kazi...hasa Ma Dc na Rcs.Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Ni kweli mkuu. Tupo hapa tulipo kwa sababu ya siasa uchwara za wanasiasa uchwara.Wataalamu wote wakiwa na misimamo ya kusimamia taaluma zao na sio kufanya kazi kwa matakwa ya wanasiasa ambao wengi wao hawaana utaaalamu hata chembe wa maeneo wanayo yaongoza, basi nchi yetu itafika mbali sana.