fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Tunasubiri kauli kutoka kwa MECO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zita saidia niniWatoe na takwimu za wagonjwa... Sio kusema kwa mafumbo...
Nadhani kwa ujinga wa watanzania walio wengi wa kushikiwa akili kuna njia ngumu twapaswa kuzipata ili tupate fahamu na kujitambua kama hii ya COVID na nyingine nyingi km Carl Marx alivyoishi kuandika.Acheni wananchi wafe mtajifunza kwa ujinga wenu
Tutajiongeza wale wenye uelewa, wale watanzania ambao wanasubiri serikali iseme hao inakuwaje?
Kuna ambao mpaka leo wanasema kuwa Magufuli kawashtukia mabeberu, hakuna Korona nchini ni fiksi tu
Marekani na nchi za ulaya zote wanachukua tahadhari na bado watu wao wanakufa balaa..sasa ije iwe sisi..tuambie kwanini wanakufa sana licha ya tahadhari hizo
Bora we so called porofesa kurudi nyumbani ukawapikie mke na watoto! Umeacha kuongelea tatizo la msingi unabaki kujitafuna tafuna mifomo! Yaani mtu mmoja ameigeuza Tanzania imekuwa na watu mazwamazwa kama hawakwenda shule! Shame on you so called mganga mkuu, hustahili hicho cheo!Heshima kwako Mganga Mkuu. Hayo yote sisi Wahenga tumeyajua tangu enzi za ujana wetu. Kwa sasa tatizo tulilonalo, hutaki hata kuligusia wala hata kulieleza. Hebu pitia taarifa yako na lifanyie marekebisho.