Mganga wa jadi adai yeye ndiye aliyemuua Nabii T. B Joshua

Kama vile anasoma mahali.
 
Muuaji wa roho, sio mwili.
Mwili unaweza kufa kwa korona, PB, sukari ajali etc, na death certificate huandika sababu / chanzo cha kifo.
Happy ndio pana ugumu kumfikisha mahakamani
Lkn kwa mujibu wa bandiko linaeleza jamaa kafunguka kinywa kipana kuwa yeye ndio muuaji.
 
Kisheria ipoje hii hajatenda jinai???
Hapana.

Inajulikana kuna watu wanaweza kukubali makosa ya kihalifu kwaajili ya kujipatia umaarufu akikamatwa askari hawatapata ushahidi kama kweli ameua hivyo itakua wanazidi kumpandisha chati.

Rais dikteta Papa Doc aliitangaza dunia kua yeye ndiye kamuua Rais wa Marekani Kenedy na akamtuma mtu aende kwenye kaburi la Kenedy ili kuchukua hewa ya eneo lile ambalo litakua na roho ya Kenedy ili aweze kuicontrol hiyo roho.

Na Marekani haikuhangaika naye hata kidogo.
 
Watu kutafuta kiki kwa vifo vya Watu ?!🥱🥱🥱
 
Ameripoti kwa papa? Inashangaza...
Papa si mkuu wa mganga wala wa TB Joshua.
TB Joshua hatambuliki na kanisa katoliki
Hili limenifikirisha sana. Labda kuna mfumo wa utawala tusioujua sisi raia wa kawaida kwenye haya makanisa.
 
Nawe unaamini kweli??? Pole sana
 
Makanisa kule.ni magofu
 
Kimeumana huko ulimwengu wetu wa kiroho
 
Hatukupewa tenda rasmi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…