COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Ilhali hata mashamba hawana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilhali hata mashamba hawana
Umeona ehhIlhali hata mashamba hawana
Mmmh natamani uweke maelezo kdgKilinge kimoja kiroho
Hakika MkuuUmeona ehh
😂❤️Hakika Mkuu
Inabidi t upate mawasiliano ya Nana.Mganga wa jadi kutoka nchini Ghana anayefahamika kwa jina la Nana Kwaku Bonsam amedai yeye ndiye anayehusika na kifo cha Nabii maarufu T. B Joshua baada ya mganga huyo kumtuhumu T. B. Joshua kuhusika na kifo cha Rais wa Ghana.
Kwenye video ambayo ameirusha mganga huyo leo, anaonekana akisema kuwa alituma taarifa kwa Papa kuwa ana mpango wa kumuua Nabii huyo.
Nana amesema amefurahi sana kulipiza kisasi cha rais wa Taifa lake. Anasema alimsginda T. B Joshua kwenye Vita yao ya kiroho iliyokuwa nzito sana.
_____________________________________________
I KILLED PROPHET TB JOSHUA..NANA KWAKU BONSAM CLAIMS
-------------------------------------------------
Ghanaian most powerful spiritualist,Dr Nana Kwaku Bonsam, says he killed Popular Nigerian Prophet ,TB Joshua, because the man of God was attacking him in the spirit after he accused him(TB Joshua) of killing Ghanaian President.
In his recent video, posted today, the spiritualist claims to have also reported TB Joshua to the Roman Catholic Pope in Roma for permission to kill TB Joshua.
Nana Kwaku Bonsam says he is happy to have revenged the death of his president by killing the man of God Prophet TB Joshua.
Nana Kwaku Bonsam has been fighting Prophets, Pastors and many men of God from Nigeria accusing them of being liars, deceivers and using magic to perform miracles in the name of God to enrich themselves.
VIDEO: I killed TB Joshua - Powerful Ghanaian traditionalist Kwaku Bonsam provides proof
Nayaleta fastaaaaInabidi t upate mawasiliano ya Nana.
Kuna kakikundi cha watu hapa Tanzania kanajiita ccm, kalikuwa kanaongozwa na boya mmoja akafa, sasa tunaona kamezidi kuwa ka kikatili, atusaidie kuwaondoa wote na washirika wao