Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Poleaakekaganga ka gen-z labda kalikuwa single...
Poleaakekaganga ka gen-z labda kalikuwa single...
Kabisaa utu uzima sio akili!Mambo hayo, umeona utuuzima sio akili. Lakini uelewa na kujifunza ni akili.
Aisee huyu mganga ana shida kubwa! Atafute mke aoe waishi kilingeni akizidiwa anajipigia kwa mkewe!Manina ndiyo mpk muunganishe vikojoleo. Aisee alafu unaona kbs mganga anasikia uroda duuuh.
Kwa maelezo haya, tuhuma hizo zinatia mashaja juu ya ukweli wake.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara.
Mtuhumiwa huyo ametambulika kwa jina la Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe.
Anatuhumiwa kumfanyia kitendo hicho mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 30 (jina limehifadhiwa), ambaye alifika kwake kupata huduma za kitiba.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Septemba 14, 2026, ndani ya nyumba ya mhanga iliyopo katika Kata ya Ziwani, Wilaya na Mkoa wa Mtwara.
Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa alitumia hila kwa kumshawishi na kumwaminisha mwanamke huyo kuwa angepatia dawa maalum ya kutatua changamoto za kiafya zilizokuwa zikimsumbua mtoto wake.
Baada ya kufika nyumbani kwa mwanamke huyo chini ya kigezo cha kumpa matibabu hayo, mtuhumiwa anadaiwa kutumia fursa hiyo kumfanyia kitendo cha ubakaji.
Polisi wanaendelea kumshikilia Shafii Rashid kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kisheria kabla ya kumfikisha mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
View attachment 3673121
Hahahahaaaa duh!Aisee huyu mganga ana shida kubwa! Atafute mke aoe waishi kilingeni akizidiwa anajipigia kwa mkewe!
Kwenye pitapita zako huwezi kikosa mkuu!Nitagie fisadi moja em’ mi maini napeleka wapi mzee!
ANAMPELEKEA MOTO MZEE WA MIAKA YA TISINI.Mganga ni mtoto wa 2000
Mimi napita naenda wapi labda?Kwenye pitapita zako huwezi kikosa mkuu!
Mimi labda ukitaka tupimqne nguvu😆
Alafu kule hawana shida ndoa ni kambo rahisi sana kwao. Miye nilikuwa huko km 5years nawajua wale.Aisee huyu mganga ana shida kubwa! Atafute mke aoe waishi kilingeni akizidiwa anajipigia kwa mkewe!
Sasa mganga anakwama wapi au katumwa na mizimu🤔Alafu kule hawana shida ndoa ni kambo rahisi sana kwao. Miye nilikuwa huko km 5years nawajua wale.
Labda ilikuwa pic kali kaona hili lishangazi lisinipite kavu.Sasa mganga anakwama wapi au katumwa na mizimu🤔
Ila gen z na kutamani mishangazi hawajambo🙌🏾Labda ilikuwa pic kali kaona hili lishangazi lisinipite kavu.
Lishangazi nalo lingembana tuu kiganga akose pumzi auwe bila kukusudia shenzi typeIla gen z na kutamani mishangazi hawajambo🙌🏾
Itakuwa janja janja hii..😅Mganga ni mtoto wa 2000
Yani ningelikanyaga teke la mbupu! Sijui kwanini aliliacha liganga limtie nuksi🤦🏽♀️Lishangazi nalo lingembana tuu kiganga akose pumzi auwe bila kukusudia shenzi type