Mganga wa kienyeji mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mteja wake

Kwa maelezo haya, tuhuma hizo zinatia mashaja juu ya ukweli wake.

Nina wasi wasi na huyo mwanamke kuwa aidha ni mke wa mtu na aliweka mazingira hayo ili kuokoa ndoa yake ama sababu nyinginezo!

Hata kama huyo bw mdogo ni kithombi wa aje, hawezi enda kubakia kwenye nyumba ya watu bila kujua mazingira yapoje na bila kumpanga kabla na kukubaliana na huyo mwanamke.
 
Mpaka anachomeka flash, kwa nini hakupiga kelele za kuomba msaada?
 
Aisee huyu mganga ana shida kubwa! Atafute mke aoe waishi kilingeni akizidiwa anajipigia kwa mkewe!
Alafu kule hawana shida ndoa ni kambo rahisi sana kwao. Miye nilikuwa huko km 5years nawajua wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…