Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Utauwa ww, ila mpk mkutane face to face mmh maana ile haina Bluetooth ujue unawaza ilikuwaje?Yani ningelikanyaga teke la mbupu! Sijui kwanini aliliacha liganga limtie nuksi๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Huyu mganga alishindwa kupotea ata kwa hali ya kutatanisha ๐คฃ
Mganga hajigangi
Huyu mganga hana kinga/ wa bei ya jioniSi mpaka๐
Hapo ukute mganga yuko bize kuulizia kama kuna mganga wa kumchomoa kwenye huo msala๐๐
Kwa kweliHuyu mganga hana kinga/ wa bei ya jioni
Hizo purukishani aisee afe kipa afe beki sikubali๐คฃ ntamtia bisu la huko nyuma๐Utauwa ww, ila mpk mkutane face to face mmh maana ile haina Bluetooth ujue unawaza ilikuwaje?
Huwa unakaa sehemu moja tu, mitandaoni na mitaani si unapita mama.Mimi napita naenda wapi labda?
Nakaa jf tu mimi sikai mtaani!Huwa unakaa sehemu moja tu, mitandaoni na mitaani si unapita mama.
Mimi labda tutoshane nguvu!!
Basi katiza vizuri mitaa ya jf utajionea.Nakaa jf tu mimi sikai mtaani!
Nguvu ndio sijajaaliwa!๐
Tambueni ukweli wake zenu wanaliwaJeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara.
Mtuhumiwa huyo ametambulika kwa jina la Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe.
Anatuhumiwa kumfanyia kitendo hicho mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 30 (jina limehifadhiwa), ambaye alifika kwake kupata huduma za kitiba.
Tukio hilo linadaiwa kutokea mnamo Septemba 14, 2026, ndani ya nyumba ya mhanga iliyopo katika Kata ya Ziwani, Wilaya na Mkoa wa Mtwara.
Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa alitumia hila kwa kumshawishi na kumwaminisha mwanamke huyo kuwa angepatia dawa maalum ya kutatua changamoto za kiafya zilizokuwa zikimsumbua mtoto wake.
Baada ya kufika nyumbani kwa mwanamke huyo chini ya kigezo cha kumpa matibabu hayo, mtuhumiwa anadaiwa kutumia fursa hiyo kumfanyia kitendo cha ubakaji.
Polisi wanaendelea kumshikilia Shafii Rashid kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kisheria kabla ya kumfikisha mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
View attachment 3673121
Sinaga pigo izo mkuu ๐ ๐ miaka 11 kwenye izi Kaz na Sina tuhuma mbovu mbovu mkuu,niuwe nguvu za mkoba wangu kisa mbunye ๐๐๐,alafu hao walikubaliana ila dada kaona mambo yameenda tofaut n alivyo tarajia kaamua kuligalambua ๐๐๐ kabakwaDogoli kinyamkela naona umeamua kujidhalilisha sasa.