Mgao ujao wa umeme…


Uko sahihi kabisa. Nimewahi kuishi kwenye taifa moja la magharibi kwa miongo kadhaa, lakini sikuwahi kusikia hicho kituko!

Hata huyo Ma-rope mwenyewe anajua hicho ni kituko, kwa sababu amewahi kuishi Marekani.
 
Nchi inafunguka, sasa tunapumua mmmmhaaaa!!! Kwanza walianza na kukarabati mitambo, na yule bwana kipara akasema watu waliogopa kukarabati kwa kuhofia kutumbuliwa. Akafanya huge transformation ya management, pili akasema mgao unasababishwa na ukame, mungu si athumani mvua zikanyesha.

Sasa wamerudi na propaganda za kukarabati mitambo tena, hapa kuna dili linaandaliwa, watasema ndio solutions za matatizo nyie subirini muone. Ule ujenzi wa stigliers George utapigwa figisu zote mnazozijua. Kweli ina wenyewe.
 
Makamba alituambia kuna matengenezo November ile yote, Kwahiyo inamaana kile kibano😀 chote bado mgao haukuwa rasmi. Sasa ndio wenyewe sio?
 
Hizo nchi ulizoishi, ugavi wa umeme utakuwa upo mikononi mwa private sector aka makampuni binafsi na siyo Serikali.

Ukilinganisha Tanzania na nchi ambazo kampuni ya Umeme nchi nzima ni moja tu na inamilikiwa na Serikali 100 percent, utakuta ni same ol' shit year in year out umeme kukatika na migao.
 
Anajua anachokifanya, tunasubiri muda na hautatudanganya juu ya utendaji wake. Amesema tunamuone wivu, sasa tunasubiri muda tu.yalianza matengenezo, ukaja ukame, zikaja mvua kali, sasa matengenezo tena.
 
Muasisi wa mauaji utamkumbuka wewe na familia yako
 
Wanataka wawachoshe wananchi kwa migao ya umeme ili wakipitisha azimio la kuibinafsisha TANESCO wasipate backlash ya umma
 
Kitaalam tunasema maji yamezifi unga au unga umezidi maji?
 

Mbona mwanzo tuliambiwa umeme unasumbua kwasababu mashine zinafanyiwa matengenezo kwa sababu zilikaa miaka mitano bila marekebisho hivyo zimechoka....sasa mbona wanakuja na sababu zile zile[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanataka wawachoshe wananchi kwa migao ya umeme ili wakipitisha azimio la kuibinafsisha TANESCO wasipate backlash ya umma
You cannot have your cake and it too. There should be a tread-off. Kama mnataka Serikali ifanye biashara basi mkubali inefficiencies, deficiencies, shortcomings and otherwise less than reliable and overall poor services with zero liabilities on the Service Provider's side aka government.
 
Magufuli alishakufa.

Jitahidi KUZOEA
 
Huu mgao umenipa mawazo sana, maisha yatakua magumu ndani ya hizo siku kumi, tunajiita tanzania ya viwanda tena tupo uchumi wa kati
 
Utakuwa umeishi nchi zilizoendelea kiuchumi na kiteknoljia hazitegemei one-trick-pony aka hydro electric power stations zinazomilikiwa na Serikali.
 
Unafikiri hiyo ndio sababu? Sasa hivi tukubali yote yatayokuja, kwa kuwa waziri mwenye dhamana yupo kimkakati
Waziri anasaka pesa za kampeni kwani 2025 siyo mbali na yeye anatarajia kutangaza nia ya kuwa mhishiwa rahisi! Acha ikae hivyo hivyo!
 
Huu ni mwezi wa tatu tupo kwenye mgao wa umeme

Sasa sijui huo mgao wa siku 10 utaondoa tatizo zima la kukatika umeme nchini

Huu michezo ulikuwepo wakati wa awamu ya nne watu tulilipia Malaki kuunganishiwa umeme na tulisubiria zaidi ya miezi 6 kuunganishiwa na wengine Hadi miezi 9

Ufisadi hauna huruma si mtoto Wala mzee
Wanachokiangalia ni matumbo yao
 
Uko sahihi kabisa. Nimewahi kuishi kwenye taifa moja la magharibi kwa miongo kadhaa, lakini sikuwahi kusikia hicho kituko!

Hata huyo Ma-rope mwenyewe anajua hicho ni kituko, kwa sababu amewahi kuishi Marekani.
Eti mgao kisa wanafanyia ukarabati mitambo!

Hii haikubaliki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…