Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hakika nchi inafunguka!Safi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika nchi inafunguka!Safi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
Tangu Magufuli ameondoka basi kila kitu kimekuwa hovyo tu.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Safi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
Unaweza kupata uraia wa nchi yeyote unayotaka si lazima uwe mzaliwa wa hapo.....Kuna Muda Natamani hata nisingezaliwa Tanzania
Acha mijinga ya tz inyooshwe maana yule ilisema ni katili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
We jamaa bwana[emoji1787]
Haraka iwezekanavyo.Tupate katiba mpya
Kabisa yaani,Acha mijinga ya tz inyooshwe maana yule ilisema ni katili
Kwa nini hawana mitambo ya ziada?Hadi mwaka jana, inakadiriwa kuwa uzalishaji wa umeme kwenye gridi ya taifa ulikuwa 1,573.7MW, huku mahitaji kwenye grid yalikuwa 1,180MW...
Sasa ikitokea chanzo kimoja kikubwa kimezimwa, ndipo hapo upungufu unapojitokeza...
Kitu ambacho nadhani Waafrika kimekuwa kikitukwamisha, ni kutojua au kutilia maanani vipaumbele...
Ikitubu utamfuata kumrudisha?Acha mijinga ya tz inyooshwe maana yule ilisema ni katili
Juzi juzi nipo mahali asubuhi pilikapilika zinaanza Mara puuuuh ukakatika, nkabaki nawaonea huruma waliojiajiri kama welders. Siku nzima hawana kazi.Ngoja mama aendelee kutufungulia zaidi nchi...
nasema uongo Pep ?
Nafikiri kwa muda mrefu Tanesco wamekuwa wakiendesha hiyo mitambo bila periodic maintenance kwa kuhofia kuonekana saboteurs baada ya serikali kuahidi hamna mgao. Now the chickens have come home to roost maana wakizidi kuiendesha ita collapse kabisa. Hawana jinsi bali wafanye the long over due maintenance.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Wakikosea atawarekebisha tu na kazi iendeleeNashawishika kuamini unachosema….